Elections 2010 Salim A. Salim Apangishwa foleni!!

jk-bangili.jpg
hapo JK kavaa nini hiyo mkononi? sio Bangili????
 
mbona mkwere hapangi foleni??

NI sababu ya usalama tu, na kwa kuwa bado anatambulika kikatiba ni raisi!! Vinginevyo kwa Salim kusimama kwenye mstari sishangai kwani anajua hata yeye hakuna 1st class citizen TZ!!!

Mwendo mdundo tu...
 
Hivi jamani kwa nini Watz tunakosa ustaarabu, mzee wetu huyu pamoja na
kulitumikia taifa letu karibu maisha yake yote, anaachwa na kunyanyasika
kwa kusimama katika foleni???.... hii imekaaje?
View attachment 16056

Mkuu, hata baba yangu (na nadhani bila shaka wazee wako wako pia) walilitumikia sana taifa hili na walisimama foleni. Hao wapiga kura wote wenye umri mkubwa wamelitumikia taifa.
 
Hivi jamani kwa nini Watz tunakosa ustaarabu, mzee wetu huyu pamoja na
kulitumikia taifa letu karibu maisha yake yote, anaachwa na kunyanyasika
kwa kusimama katika foleni???.... hii imekaaje?
View attachment 16056

Kusimama katika foleni sio kunyanyasika. Ni kuonyesha kuwa naye anafuata sheria na taratibu zilizopo
 
mbona mkwere hapangi foleni??
Pamoja na kutopanga foleni lakini nilishangaa jana chumba alichopigia kura kilikuwa na meza nzuri sana, Carpet chini, kwa kweli ilikuwa kama imeandaliwa kwa sababu fulani hivi.!
 
Back
Top Bottom