Sales person wanted

meadows

Member
Nov 21, 2013
21
3
We require the services of a sales person (1 position):
  • male or female
  • young and energetic
  • must be presentable
  • fluent in English and Swahili
  • ability to work unsupervised
  • minimum education: Form 4 level
  • honest and dedicated
  • must be focused with sales targets
  • must have good communication skills
Application only by email - sokoni@meadowspromotions.com. Deadline 20th August 2017

Tunamhitaji mtu wa masoko (nafasi 1):
  • mwanaume au mwanamke
  • mchapakazi
  • awe anavutia
  • ajue kiingereza na kiswahili
  • kufanya kazi bila usimamizi
  • elimu: kidato cha 4 au juu
  • mkweli na mtii
  • anaelewa kufuatilia viwango wya mauzo
  • mwenye mawasiliano mazuri
Maonbi kwa njia ya barua pepe tu - sokoni@meadowspromotions.com. Mwisho 20 Agosti 2017
 
We require the services of a sales person:
  • male or female
  • young and energetic
  • must be presentable
  • fluent in English and Swahili
  • ability to work unsupervised
  • minimum education: Form 4 level
  • honest and dedicated
  • must be focused with sales targets
  • must have good communication skills
Applicants, please send CV to sokoni@meadowspromotions.com or whatsapp 0755 276750 for more details. The first successful candidate will be hired.
Mbona huja onyesha jina la kampuni na nature ya kazi. weka wazi mkuu
 
We require the services of a sales person:
  • male or female
  • young and energetic
  • must be presentable
  • fluent in English and Swahili
  • ability to work unsupervised
  • minimum education: Form 4 level
  • honest and dedicated
  • must be focused with sales targets
  • must have good communication skills
Applicants, please send CV to sokoni@meadowspromotions.com or whatsapp 0755 276750 for more details. The first successful candidate will be hired.
sasa mkuu mbona haujataja mahali paaa kufanyia kazi ni mkoa gn? sawa sales sasa atadili na nn hasa hakuna yaaan ww ni kutoa vigezo tyuuuuu
 
Ni kutembeza mabeseni na majagi mtaani? Niweke wazi kabisa ili nijiandae kisaikolojia. Tai na shati ya blue ninavyo !

-Kaveli-
Na wanakuwaga na mbwembwe na kutaja mishara mikubwa ila sasa unatakiwa uwe na moyo na ujue kuongea na kushawishi
 
Hhahahahahhahah duuu kama ni ya kutembeza yaaani inahitaji kujitoa ufaham so kidogo maana unaweza kuacha mzigo barabarani kana ni brazamen au sistaduu.
 
Na wanakuwaga na mbwembwe na kutaja mishara mikubwa ila sasa unatakiwa uwe na moyo na ujue kuongea na kushawishi


hahaha dada feitty, hiyo kazi ni noma sana. Inabidi ujitoe ufahamu kabisa, ubraza-kaka or udada-duu tupa kule. Na inabidi mtu asiwe ana afya mgogoro, maana jua lote linamkaanga!

Halafu walivyo wapuuzi sasa, eti moja ya qualification ni ''Must be fluent in English & Swahili'' :). Mtu anaenda kutembeza majagi na mapeseni huko Tandale kwa Tumbo, english my foot!!

Na wanataka mtu SMART eti, tai na sharti safi nyeupe or blue. Mtu anakula vumbi chochoro zote mtaa kwa mtaa, plus jua kali, plus anashindia maji ya kandoro with kashata, uSMART/USAFI utoke wapi hapo?!!

Waduwanzi sana hawa wenye vikampuni uchwara vya kinyonyaji. Unalipwa per day kwa asilimia kutoka kwenye mauzo yako ya siku. So, uwezo wako wa kushawishi wateja ndo riziki yako. Hapo inabidi uwe na strong Art of 'kabobo' ili kushawishi watu wanunue. Otherwise utapauka na jua la kutwa nzima na end of ze day unarudi geto with buku mbili mfukoni. :)

Nina friends zangu wawili, wana wa kitaa, waliwahi kujaribu hiki 'kibarua'. Siku MOJA tu wakanyoosha mikono juu. Kesho yake mida ya jioni tupo maskani na wana, mmoja akawa anatusimulia experience aliyoiona huko 'kibaruani, akasema "Daaah ebana wana eeeh, ile kazi ya kishenzi hatari. Kutwa nzima sikuuza ata kijiko, nikashinda njaa. Nikanywa kandoro moja. Nusura nizimie. Tai niliiona nzito shingoni ''. :D:D:D

-Kaveli-
 
Tunaomba radhi kwa kutoweza kujibu hoja zenu kwa muda mrefu. Hata hivyo, mawasiliano yalitakiwa yafanyike kwa barua pepe tu na sii hapa mtandaoni. Mngekuwa mmeuliza maswali haya kwa barua pepe, hakika mngejibiwa. Tunaelewa mambo za forum pia mara nyingi inakuwa ya masihara au majadiliano ya utani tu. Tunashukuru tulipata maombi za kutosha na tuliweza kumteua mmoja wao.

Ahsanteni kwa ushirikiano wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom