Sales & Marketing Executive needed

T.N

Member
Feb 17, 2011
6
0
Dear All,

We are looking for an experinced person to do sales for a travel and tours company- Based in Dar es salaam

Fluent in English & Swahili

Send your CV to ernest@igrouptz.com
 
T.N. are you serious?

Tangazo lako halina information kabisa, husemi ni Nchi gani, mkoa gani, job description, mazingira ya kazi

I wonder if that company has a HRM
 
Hizi ndio kazi za aina ya;
Nunua mbili kwa bei ya bidhaa moja.
Wale wanavaa tai wanapita maofisini.
Nimekumbuka hii, nimecheka saana. Mie niliwahi kuona kajitangazo kama haka, nikaenda ofisini wakaniuliza qualification zako zikoje nikwaambia, wakaniambia wewe ondoka. Wale wengine wakaambiwa kesho yake waende kuanza kazi na barua kutoka kwa ofisi ya serikali ya Mtaa, mdhamini na picha na waje na Tai wamependeza kuanza kazi. Kufika, wakapigwa kitrain fulani hivi, ghafla wanagawiwa thermos kwenda kuuza. Duh!!!!!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom