Sales Associates Au Affiliate Marketing

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Wana JF,

Naomba kujua mtu anawezaje kuwa na Computer iliyounganishwa internet na kupata pesa kwa kuwa "Affiliate market" hasa wa sekta za utalii na Hoteli au biashara nyingine?

Naweza kuwa hapa Tanzania na kufanya kazi kwa kampuni ya Uingereza au Marekani na kupata commission?

Zipo Kampuni za kitanzania zinahitaji watu kama hao katika kuwaletea visitors kwa malipo ya commission?

Kwa mfano naelewa mambo ya 'search engine optimization" kwenye Google, yahoo, alta vista, aol, msn, live n.k

Tafadhali msaada hapo
 
Ndio Mkuu inawezekana ingia google andika travelpayout then join na hao jamaa wenyewe wana deal na travel industry only. Wana offer kibao ambazo unaweza kuzipromote wewe km affiliate marketers Na cookies zao zinakaa kwenye browser ya visitor kwa siku 30 so mfano mtu kakata ticket ya ndege kupitia link yako kuna commision unapata.

Km unahitaji kwenda mbali zaidi tuwasiliane nikutengenezee automated traveling affiliate website ambayo utaitumia kupromote hizo offer.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom