Salary ya kikwete for 10yrs ni Tsh 3 bilion

Status
Not open for further replies.
That income is most likely from the dividends of mafia deals of Dowans, IPPTL, Pan African Energy et al. We now know why you've been a prominent vociferous defender of poor CCM deeds and policies.

It is only $305 per hour, not much really, targeting $700 per hour this Year.
 
Mimi ninaziona hizo TSHS 3 Billlion kwa miaka 10 ni ndogo sana ukilinganisha na Mtu kama Rais Wa Amerika Barack Obama anayelipwa kwa Mwaka Mmoja Dola Laki 4. Kutokana

na majukumu aliyokuwa nayo mengi Rais wetu kulipwa Pesa ya Shillingi 3 Bllioni kwa miaka kumi ni ndogo sana

mimi nilifikiri analipwa kwa kila mwezi? kumbe pesa ya Miaka kumi?Mkuu Mozila Hebu hizo Pesa Ya Rais wetu TShS 3 Billioni Zifananishe kwa Dola itakuwa ni dola ngapi? What will obama salary be as president?
Answer:
The President of the United States earns $400,000 a year. The vice president's annual salary is $221,100


What will obama salary be as president

Angalia aveta yangu, je rais wa Tanzania anajinunulia vitu vya kujikimu au ni pesa ya walipa kodi ndiyo inayofanya yote>
 
It is only $305 per hour, not much really, targeting $700 per hour this Year.
4_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bya%2BChama%2Bna%2BVijana%2Bwa%2BCCM.jpg

Kikwete Investment yake ni kwa vijana hawa wa CCM?
 
Watu baada ya kuzungumza maneno yenye Point Eti unazungumza Salary ya Mheshimiwa Rais wa nchi wewe

itakusaidia kitu gani? Hata kama Rais anapokea TShs 3 Billioni kwa mwezi wewe itakusaidia kitu gani ? au

kukupungizia kitu? kama unakasirika ngojea ufike wakati wa Uchaguzi umchague huyo Rais wako unayemtaka

apokee kila mwezi Salary ya TSHS Laki 3 kisha uone kama ni kweli atakubali hiyo Salary unaytaka apokee hamna

cha kuzungumza bora muache mazungumzo jamani. Tuzungumze Maendeleo ya nchi tusimzungumzie mtu mmoja

jamani acheni upuuzi wenu huo. Mkuu Moderator ifunge hii Thread ni upuuzi Mtupu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom