Salary ya kikwete for 10yrs ni Tsh 3 bilion

Status
Not open for further replies.
2005 mrema alitaja mshahara wa rais ulikuwa milioni tisini kwa hiyo Jk alijipunguzia?
 
Mie nasema pesa hiyo inatosha kama ni kweli kwani,anamarupurupu mengi na hatahivyo anahudumiwa na serikali kila kitu na kama angelikuwa na uchungu na asingeliwaonea haya mafisadi mfano:fisadi mmoja kuchukuwa bililion moja yakitanzania ambayo ni theluthi ya mshahara wa rais kwa miaka kumi nakuita vijisenti bila presdaa kutoa tamko!
 
Obama anaongoza {Taifa} state karibu bara loote la Afrika

Kikwete anaongoza mtaa

Uchumi wa USA ni mkubwa saaaaana au uko juu tofauti na mtaaa wetu

Obama mchapa kazi

Rais wetu daily anadhurura tuuuu
Mkuu Nyanya mbichi unazungumza utumbo kwanini? huko unakosema kuwa Rais wetu anazurura kuna ndugu zake huko anakokwenda?Si anakwenda kikazi?au anakwenda

kwao Bwagamoyo nini? Rais anapokwenda nje ya nchi kwenye Ziara yupo kazini huyo Rais mnataka Rais awepo

kutwa nzima ikulu asitoke nje ya nchi?Asipotoka nje ya nchi, nchi yetu kutakuwa na Maendeleo gani katika nchi yetu?Acheni

kumlaumu Rais jamani kila siku mnamlaumu Rais anafanya hichi Rais anafanya kile je wewe ukipewa hicho cheo cha URais utaleta mabadiliko gani? Acheni lawama zenu zisizokuwa na mpango wowote ngojeeni uchaguzi unao kuja mumchaguwe Rais munayempenda.
 
Huo ni mshahara mdogo sana kwa rais. mimi bila dola 6000 kwa mwezi usinipe kazi. Ninamfahamu jamaa analipwa dola 75,000 kwa mwezi, ni ceo. Migodini vile vile kuna ma injinia wanalipwa dola 15,000 kwa mwezi. JK anapitwa mshahara na wengi watanzania. Kazi yake ni ngumu, anayeipenda na anayetaka kukimbilia ikulu ni wa kuogopa kama ukoma. Mwalimu JKN Hutoba ya mbeya
 
zomba uko juu aisee wengine wanaishia one mill dollar per annum ila itaongezeka mwaka huu na kuzidi hapo
 
Last edited by a moderator:
Hapo hujaweka allowance yake ya kusafiri kwenda nchi za nje daah

Allowance ni za kumwezesha kuishi huko aendapo ila mara nyingi sie huwa tunazitumia kama sehemu ya kufanya mambo ya maendeleo kwa ku-save as much as you can, kama umepewa ya kufikia hotel nyota tatu unatafuta guest house ya buku 10
 
My last year income was US$ 2,634,678.94
That income is most likely from the dividends of mafia deals of Dowans, IPPTL, Pan African Energy et al. We now know why you've been a prominent vociferous defender of poor CCM deeds and policies.
 
Watu wanapata hela hapa tz sema raisi yeye anakuwa na power ila interms of cash wengi wanampita
 
Tukikata kodi zinabaki ngapi hapo au yeye halipi PAYE embu tukokotoe kidogo 30%of (25,000,000 minus 720,000) + 112,500 anabakiwa na ngapi netpay hapo kwa wanaojua hesabu
 
That income is most likely from the dividends of mafia deals of Dowans, IPPTL, Pan African Energy et al. We now know why you've been a prominent vociferous defender of poor CCM deeds and policies.

All legal.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom