Salary ya kikwete for 10yrs ni Tsh 3 bilion

Status
Not open for further replies.

Mozila

Senior Member
Mar 23, 2012
174
47
Salary jk kwa mwezi ni 25mil kwa mwaka ni 300mil kwa 10yrs ni 3bil..just a salary.. wat about you? wat is yours?
 
Mkuu Mozila ana haki apate hiyo Salary kutokana na cheo chake kama ni Mkuu wa nchi wewe unaonaje Salary ya Mheshimiwa Rais ni nyingi au ndogo?
Mtimkavu hiyo salary ni kubwa sana kwa rais mtu ambaye anapewa kila kitu for the rest of his life yeye na family yake
 
Sina uhakika,kama ni hiyo basi ni ya kawaida sana! Weka na posho zake zote kwa mwezi ili tuone
 
Mtimkavu hiyo salary ni kubwa sana kwa rais mtu ambaye anapewa kila kitu for the rest of his life yeye na family yake
Mimi ninaziona hizo TSHS 3 Billlion kwa miaka 10 ni ndogo sana ukilinganisha na Mtu kama Rais Wa Amerika Barack Obama anayelipwa kwa Mwaka Mmoja Dola Laki 4. Kutokana

na majukumu aliyokuwa nayo mengi Rais wetu kulipwa Pesa ya Shillingi 3 Bllioni kwa miaka kumi ni ndogo sana

mimi nilifikiri analipwa kwa kila mwezi? kumbe pesa ya Miaka kumi?Mkuu Mozila Hebu hizo Pesa Ya Rais wetu TShS 3 Billioni Zifananishe kwa Dola itakuwa ni dola ngapi? What will obama salary be as president?
Answer:
The President of the United States earns $400,000 a year. The vice president's annual salary is $221,100

What will obama salary be as president
 
Last edited by a moderator:

Kwa kutofautiana na viongozi wa nchi nyingine rais wa Marekani anajinunulia au kujilipia mwenyewe chakula chake.
 
Tanzania president salary per annum is USD $ 187500/- haya multiply kwa 1600
 
pigeni kazi vijana..acheni kujipa presha kujadili vitu ambavyo mwisho wa siku havikusaidii...komaa ndio mpango mzima.
 
Nadhani hizo milioni 30 za Maximo zilitoka kwenye miradi mingine. Sidhani Kikwete anategemea mshahara wa Ikulu peke yake.

Wafanyakazi wote wa serikalini na wanasiasa huwa hawategemeagi Mishahara! HutegemeaMARUPURUPU, RUSHWA na WIZI,
 
kwa rais wa nchi kama kikwete ambaye han uchungu na nchi yake na ambaye aliingia madarkani kwa kutumia pesa yake nyingi hiyo pesa ni ndogo sana na siamini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom