salamu zangu za Mwaka mpya

Ntumami

Senior Member
Sep 3, 2010
127
23
jamani, toka mwaka uanze nilikuwa sijapita huku.... na leo nachukua fursa hii kwa mambo mawili

1. Heri ya mwaka mpya wana JF woooooooote
2. naungana nanyi nyoote kwa msiba wa dada yetu.......... so sad to speak about it...

May God bless us....

wishing you the best in 2012

my message to you for 2012... Pray and Work, do the best and God will do the rest
 
ooooh, i am mkongwe somehow nina ka mwaka na zaidi tangu niingie humu... nawazidi hadi kina kongosho!!!
 
Back
Top Bottom