Salamu za rambirambi kwa wanajumuiya ya Afrika mashariki.

DarProperty Tz

Senior Member
Apr 24, 2011
168
29
CONDOLENCE.jpg




kwa pamoja tunasikitika kutoa salamu hizi za rambirambi kwa jamii ya afrika na mashariki. imekuwa wiki ngumu na yenye majonvi kwa mataifa ya Tanzania hasa visiwa vya Zanzibar na Kenya mji wa Nairobi. kama sehemu ya jumuiya hii, majanga haya yametugusa sana.
Tumwomba Allah azilaze roho za waliotutangulia mahala pema peponi. Amina!
Timu ya Darproperty
 
Back
Top Bottom