Salamu za rambirambi kwa kifo cha luteni kanali makwaia

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3][/h]



ad3.jpg

Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, aliyekuwa Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa pili wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi.

ad.jpg


Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, akiwa kazini kama Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na baadaye Rais wa pili wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi.

ad2.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo leo Keko, jijini Dar es salaam, kufuatia kifo cha Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, aliyekuwa Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Rais Ali Hassan Mwinyi. Marehemu amezikwa leo Septemba 6, 2012 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.

ad4.jpg



ad5.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ndugu jamaa na marafiki wa Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia JanaSeptemba 6, 2012 Keko, jijini Dar es salaam.

Picha na Ikulu

 
Yaani hata kama CHUKI; NYERERE alikuwa habagui... anampa MWINYI mpambe WAKE... alipotoka MADARAKANI... na MPAMBE

WAKE NI MWISLAMU...
 
[/COLOR]
Huna jipya wewe.......... kakojoe ulale!

Kama haupendi hakuna neno lingine la kusema zaidi ya kutukana? Nilidhani hii ni sifa ya nchi yetu lakini naona MOYO WAKO

UMEJAA UKURUTU there is nothing cha kusema ni kizuri toka MOYONI MWAKO ? MUNGU MWENYEZI atakupa hekima zako...

WHAT's GOING AROUND comes AROUND... Ni haki ngapi Mtazitaka na kupewa? na Msipozipata? MTAFANYA NINI?

MTAKOJOA na KULALA? kama ulivyoniambia?
 
Du huyu mzee alishindwa kufikia cheo cha Kanali? Wakati wapambe wote niliowajua walifika cheo cha Brigedia jenerali na kwenda juu!
 
Back
Top Bottom