Salamu za mwaka 2011

Quinty

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
462
74
Tunamshukuru Mungu tumejaliwa kuuona mwaka mpya 2011. Tumwombe Mungu atujalie uzima wa mwili na roho na mafanikio mema kwa kila mwanajf na ndugu jamaa na marafiki zetu. Pia huu uwe mwaka mwingine wa kutoa na kuchangia hoja zenye nguvu, misingi na uelemishaji. Nawatakia heri ya mwaka nyote.
 
asante....nawe pia uwe na Mwaka Mpya mwema wenye mafanikio kwa kila ulipangalo........ubarikiwe sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom