Salamu wana JF

Bi. Mkora

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
374
60
Kwa kawaida mgeni ukifika ugenini unapiga hodi ukisubiri kukaribishwa. Nawasalimu wana JF wote popote mlipo. Mgeni nimewasili.
 
karibu Bi mkora naona watu wako busy wanapiga kiwi vitambulisho vya vya kupigia kura.
 
karibu sana....hakikisha rais wako ni yuleyule.....midahalo si umefuatilia lakini?....
 
Mtazamaji asante sana ni kweli naona watu wako busy na uchaguzi. Preta nashukuru kwa ukarimu wako, midahalo nimeifuatilia vizuri sana
 
Karibu ukumbini, huku tunatumia lugha za kistarabu nawe michango yako izingatie hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom