Salamu toka "MwanaHalisi"

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
SALAAM ZA MWAKA MPYA

Uongozi na wafanyakazi wa MwanaHALISI, hata ndani ya kifungo cha siku 90 cha gazeti hili, tunayo furaha kukutakia heri katika sherehe za msimu huu zinazoambatana na kuaga mwaka huu na kukaribisha Mwaka Mpya.

Tumetambua na kuthamini upendo na ujasiri wako katika kutetea uhuru wa mawazo na uhuru wa
habari; na tunaahidi kuendelea kutenda kwa mujibu wa uhuru, haki na wajibu mara baada ya kurejea ulingoni.

Heri ya Mwaka Mpya – 2009

Saed Kubenea
Mkurugenzi Mtendaji
Hali Halisi Publishers
 
Hey Cuzin...Heti ya sikukuu to you and you significant other...I miss you cuzin mbona hurudishi simu zangu lakini eeh miye huyo wifi uliyekuwa naye sasa simpendi kabisa na sitanii and you know when i say that i really mean it.

Happy kwanza,x-mass and mwaka mpya cuzin...
cheerz
xoxo
Me!
 
Thank you so Much Mzee Mwanakijiji! Tunaomba pia Saed Kubenea alete seasonal wishes zake direct hapa. Samahani sina maana kupitia kwako ni vibaya but tumemmiss sana.

Ninamwombea Saed Kubenea na team yote ya Mwanahalisi Krismasi njema na mwaka mpya 2009 too. We are missing his nyundos. When is the ban due?? We want Mwanahalisi back!!! Ila naamini yuko kwenye mtambo anakusanya evidences na akiamka ameamka fully with 220 speed!! Tuko nyuma yako afande Saed Kubenea. We love you!!!
 
Mwambie akirudi hewani ahakikishe pia web site yake inarudi hewani haraka sana.
 
Saed yuko India sasa hivi kwa follow up ya matibabu.. wanarudi hewani Januari and believe me you hutaki kukosa toleo la kurudi hewani!!
 
SALAAM ZA MWAKA MPYA

Uongozi na wafanyakazi wa MwanaHALISI, hata ndani ya kifungo cha siku 90 cha gazeti hili, tunayo furaha kukutakia heri katika sherehe za msimu huu zinazoambatana na kuaga mwaka huu na kukaribisha Mwaka Mpya.

Tumetambua na kuthamini upendo na ujasiri wako katika kutetea uhuru wa mawazo na uhuru wa
habari; na tunaahidi kuendelea kutenda kwa mujibu wa uhuru, haki na wajibu mara baada ya kurejea ulingoni.

Heri ya Mwaka Mpya – 2009

Saed Kubenea
Mkurugenzi Mtendaji
Hali Halisi Publishers
Vizuri kubeep... manake mnaweza kusahulika
 
Hawa jamaa nimewamisi mpaka mwisho! Unajua haya magazeti mengine wanatuambia 'mtu fulani', 'kiongozi fulani' wao walikuwa wanakoboa tuu! Sijui wamebakisha mda gani jamani!
 
All in all appetite ya kusoma magazeti imeniisha kwani yanatoa habari za ki Mengi Mengi tu .... Waziri kijana na Msomi..... Rudi tunakungoja kwa hamu kubwa MwanaHalisi ukoboe...

Wishing you too Heri ya Misa ya Kristo na Mwaka Mpya 2009.

Cheers.
 
Saed yuko India sasa hivi kwa follow up ya matibabu.. wanarudi hewani Januari and believe me you hutaki kukosa toleo la kurudi hewani!!

Ulipata Muda wa kumuuliza kuhusu kesi yake na wale wenyevii wa Chama cha mapinduzi anasemaje?au anasubiri kuwaomba msamaha pindi atakaporudi.

Je amepata Hasara kiasi gani mpaka sasa
 
Lakini mimi sijaona walipoandika kwamba hizi salamu zinatumwa kwetu wana JF. Hata lugha waliyotumia inaonyesha kuwa walikuwa wanatoa salamu kwa mtu mmoja, na si wengi.
 
All in all appetite ya kusoma magazeti imeniisha kwani yanatoa habari za ki Mengi Mengi tu .... Waziri kijana na Msomi..... Rudi tunakungoja kwa hamu kubwa MwanaHalisi ukoboe...

Wishing you too Heri ya Misa ya Kristo na Mwaka Mpya 2009.

Cheers.

Weweee shauri yako, watakub;;;; UNAMGUSA MR. UNTOUCHABLE.
 
Tunashukuru kwa kututakia kheri ya krismas na mwaka mpya, mungu amjalie Kubenea na kampuni yake kwa ujumla wamalize kifungo ili waendelee kutulisha habari motomoto
 
Mwanahalisi tunaisubiri kwa hamu hivi itakuwa hewani lini?Kila la heri Kubenea na wenzake,najua mafisadi wanawahofia sana lakini uzi ni uleule hadi waishe wote.Tukutane Januari,2009.
 
Big up sana Mwanahalisi. Pole kuwa "behind bars" hata wakati wa misa ya kristo (Bill's terminology). Tunakumisi sana mkuu utupakulie yaliyo jikoni. Machanga ya macho yapo kibao! mara kesi za EPA, mara kutumia madaraka vibaya! lakini tunashangaa kiwanja cha mgonja kina thamani ya billions of shillings!. Kiwanja cha ukubwa huohuo akimiliki mmachinga kina thamani ya laki moja unusu! Toka rumande boy utuoshe macho.
 
Back
Top Bottom