Salamu toka kwa Rev.Masanilo

Nasema hivi, mtukanaji, anayekiuka maadili ya kiTanzania, Masanilo afungiwe maisha. I suggest perment server ban kwa msioelewa kiswahili.
 
Peleka salamu zangu kwa Rev. Neno tumelikosa kwa muda sasa

Kutokana na kuonyesha nidhamu ya hali ya juu akiwa jela uongozi husika utamfikiria kumpunguzia kifungo mafisadi wanachekelea saizi
 
Free Rev Masa!
Freeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

:peace::cheer2::cheer2::peace::cheer2::cheer2::peace:​
 
Akimaliza kifungo aende rehab kwa miezi mingine sita. Hapo atakuwa kasahau kabisa bangi, mirungi na gongo.

Na akirudi tumeshatunga katiba mpya na chadema itakuwa imeshaunga na CUF, TPL na NCR Mageuzi.

Rest in jela.
mbona nahisi yeye yuko kati ya chama kimoja hapo?
 
LOL! Fidel80 hahahahahahahaha mwambie juhudi kali zilifanywa huku ili apunguziwe adhabu yake lakini hakukuwa na mafanikio. Mwambie anasubiriwa kwa hamu kwenye majukwaa mengi ambayo yeye ni mchangiaji wa kila siku.
 
Mie misa si hudhuruu tena..
mpaka mchungaji nimpendae arudi...hahah lol

mpe pole sana na mwambie kwaya inaendelea vizuri..
Sunday School imefungwa mpaka arudi

kwa ujumla tunamsubiria kwa hamu sana
 
LOL! Fidel80 hahahahahahahaha mwambie juhudi kali zilifanywa huku ili apunguziwe adhabu yake lakini hakukuwa na mafanikio. Mwambie anasubiriwa kwa hamu kwenye majukwaa mengi ambayo yeye ni mchangiaji wa kila siku.

Leo nitakuwa nae pale kwenye kijiwe cha Ngisi nitamweleza, ujumbe umefika na mmbaya wake huyo hapo juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom