Salamu na Shukrani toka kwa Maskini_Jeuri

unusual-road-signs-20.jpg
 
Watu wengine ni wabaguzi. Wanatenga wenzao. Vyao wanakula wenyewe, vyetu wanalazimisha tuvishee
huo sio ubaguzi, ni ukiukwaji wa maadili ya chama. Unaonyesha udhaifu katika uongozi.
Tunawasiwasi nafasi tuliyokupa unaitumia vibaya. Tunaomba ulete audited acounts leo. kamati kuu itakufikiria kama unafaa kuendelea kuwa katika nafasi hiyo.
 
Hivi vibatani vya senksi vinaleta mambo kama ya NEC bwana mara vinaonekana mara havionekani
 
Tunamshukuru Mungu kwanza kwa kuwezesha swala hili kwenda kwa speed na hukumu kutolewa kwa haki.
Pole sana MJ tupo pamoja nawe katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom