Salamu na Shukrani toka kwa Maskini_Jeuri

This message has been deleted by Wiselady.

Uliandika nini hapa mpenzi wangu?
 
kuna zawadi nilikutumia hapo nikaona finest na mwenzie kaizer wanaweza kuichakachua ntakupa kuleeeeee

Sasa ndo unataka kuharibu mpango mzima, inakuwaje unamwaga razi hazarani?
 
Hivi Taito ya hii sredi inasemaje kajukuu? Nakuona unachungulia hapa.


There are currently 14 users browsing this thread. (8 members and 6 guests)

Asprin Kimey+ Wiselady Wakuchakachua Kaizer+ The Finest
+ MwanajamiiOne+
 
Baba Gift usijali huwa tuna mbinu nyingi za kuleta watu church mpenzi
hebu eleza, mpenzi ni kivumishi au kishawishi? bab gift ni mpenzi au mpenzi ni baba gift? mbinu ni za kimapenzi au mapenzi ni mbinu?
 
Back
Top Bottom