Salamu na Shukrani toka kwa Maskini_Jeuri

Kwa kiswahili hapo lady the wise ungesemaje vile?

wenzio tumehitimu shule ya msingi ujamaa darasa la saba B.

ASPRIN bana,usichoelewa ni nini hapo! ok ok,tafsiri yake halisi ni"Nakupenda sana"
 
Hivi hii sentensi kizuri kula na nduguyo....haina limitations?

Kama ni hivyo ntamwomba mwenyekiti tuiangalie upya hii kitu. Kuna vitu vingine hapana bana!
Hahaha Katibu weka kwenye ajenda hii..we need limitation rule no 3
 
ASPRIN bana,usichoelewa ni nini hapo! ok ok,tafsiri yake halisi ni"Nakupenda sana"

Tatizo kuna mijitu huku itanionea wivu. Kwanini hukuniambia thruu PM?

Anyway, kamata hii hapo chini kwa sasa, halafu kagua inbox yako kule.

The Following User Says Thank You to Wiselady For This Useful Post:
Asprin (Today)
 
Mama big a.k.a Da Sophy version 2 ni mwanachama hai wa ISC. Katibu cheki kumbukumbu zako vizuri.

kumbe! mi nilidhani ni twin wake kumbe ni original da sophy!new version ina kasi kweli cjui kama mtaimudu
 
kumbe! mi nilidhani ni twin wake kumbe ni original da sophy!new version ina kasi kweli cjui kama mtaimudu

Sasa mbona hujibu PM yangu?

Halafu uchaguzi ushaisha, mbona invizibo haturudishii chat room yetu? PM zina delay mambo bana.
 
Tatizo kuna mijitu huku itanionea wivu. Kwanini hukuniambia thruu PM?

Anyway, kamata hii hapo chini kwa sasa, halafu kagua inbox yako kule.

Kagua PM yako hapa nimeweka msisitizo tu,ila na wewe usinihurt tena kama kipindi kile
 
Sasa mbona hujibu PM yangu?

Halafu uchaguzi ushaisha, mbona invizibo haturudishii chat room yetu? PM zina delay mambo bana.
pm mbaya sana aisee!....
ni ''ushahidi tosha'':music::music:
 
Sasa mbona hujibu PM yangu?

Halafu uchaguzi ushaisha, mbona invizibo haturudishii chat room yetu? PM zina delay mambo bana.

alisema anarudisha leo nimetuma kny pm yako zawadi pamoja na hii:A S kiss:
 
alisema anarudisha leo nimetuma kny pm yako zawadi pamoja na hii:A S kiss:

:hippie::hippie::hippie::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::welcome::welcome::welcome::bathbaby::bathbaby::bathbaby::violin::violin::violin:
 
Back
Top Bottom