Salamu na pia natafuta mashine ya chalks.

Mar 28, 2012
9
2
Salmu kwa wan JF wote.

Jamani natafuta mashine ya kuetengezea chalks za mashuleni mfano huo hapo. Mwenye taarifa wapi naweza kupata tafadhali anijuze.

Thanks




Chalk machine.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom