salamu kwa Dr Mgimwa

status quo

Member
May 6, 2011
87
38
leo alipokuwa akihitimisha hoja waziri wa fedha Dr mgimwa amelizungumzia deni la taifa kwa urahisi mno kana kwamba the size of public debt do not matter, maelezo yake juu ya deni la taifa, eti anaongelea habari ya debt-GDP ratio haya mambo si hoja ya msingi hapa hoja hapa simply ni 'Debt explosion' alitakiwa atueleze ni kitu gani kina pelekea tunakuwa na'mfumuko.wa deni' wa namna y a kutisha ambao haujawahi kutokea ktk historia ya nchi hii. Dr Mgimwa truly Debt do matter usitoe majibu mepesi .
 
Back
Top Bottom