Unakaribishwa sana . Gairo iko wapi ndugu yangu?
Gairo ipo wapi? au unamaanisha Cairo Egypt?
Naomba kuuliza hivi George_Porjie ndie amewekwa hapa mahususi kwa kupokea wageni wapya? Namuona anadhurura kila kona ya wageni. Au anatafuta mchumba mshamba mshamba?