salamu haitii mimba!???

Mimi nimepiga mswaki mara nne lakini bado mdomo unanuka, nawahi kwa dentisti. Niombeeni
 
Mie niko poa kabisa, hapa bado nipo kitandani najiliwaza mwenyewe na ki simu changu sijui nitaamka saa ngapi na hiki kijiubaridi!! Lol

Aiiy Kipipi weweee! Achaga basi kutufanya sie watu wazima hapa Jamvini tu-macho ya Nazi ! Kujifanya mparokia kwa sana!
Ulale peke yako na umri huo ?
Haiyumkini !
Lakini !
Sijui !
Labda !
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka nikusalimie kwa busu leo (nikusapraiz)
Ila kwa mtindo huu wacha upewe mkono tu
Deskmate usicancel hako ka offer, tayari nimerudi na nimefanya saliva transplant. Fanya ukuje kusibitisha mwenyewe bila kuhadisiwa
 
we niaje?KUMBATO apate Bagah kuridhika uridhike wewe!khaa!au you are bluetooth connected to Bagah?

Mc , una maana wewe dogo lako Likipata paKUPONA hutofurahi ?
Incase katika mishemishe za dogo KUPONA mitaa ya MA'embreology na MA'fertilazation yaki teki plase huoni LI'clan letu populesheni itapanda ?
Ndo-maanake !
 
Dentisti amesema itakuwa ni bakteria wanaopatikana kwenye kiporo ndio wamesababisha. Manaake bakteria wanaopatikana kwenye kiporo wanakuwa hawakufi kwa kolgeti.

So u well nw haya mwali where are u? Busu kwa klorokwin pliiiz
 
Aiiy Kipipi weweee! Achaga basi kutufanya sie watu wazima hapa Jamvini tu-macho ya Nazi ! Kujifanya mparokia kwa sana!
Ulale peke yako na umri huo ?
Haiyumkini !
Lakini !
Sijui !
Labda !

hahahah mr judge bana, mie bado mparokia mpaka leo kwani kinashindikana nini mpendwa wangu?? Umri sio tija bana, hilo jicho lako la tatu lifumbe kabisa litakupoteza!!
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi wangu nizimike wapi mama sema nilichelewa lala n mewahi amka aisee haya leo unapuyangia wapi mto wa k ya bwiruu

pole mamito,leo nlikuwa busy hta cjamalza issue nlizopanga kufanya leo. nimechoka mbaya. ndo narud zangu hm nkajikumbatie!
 
hahahah mr judge bana, mie bado mparokia mpaka leo kwani kinashindikana nini mpendwa wangu?? Umri sio tija bana, hilo jicho lako la tatu lifumbe kabisa litakupoteza!!

Kama nataka dangnya , dangnya ile totolac ! ile toto dogo bado nakunwya cowbell bhanaa!
Apa iko ile mutu kuba ! Sura yao nakusajaa kunyanzi ! (soma kwa lafdhi ya kidosi )
 
Kama nataka dangnya , dangnya ile totolac ! ile toto dogo bado nakunwya cowbell bhanaa!
Apa iko ile mutu kuba ! Sura yao nakusajaa kunyanzi ! (soma kwa lafdhi ya kidosi )

Hahahaaa kanjibah judgement umetishaaa
 
Back
Top Bottom