Salama Kikwete na Michelle Obama wanatufundisha nini hapa?

Umeshaamua kwenda shambani ukubali kuchafuka...!!! Big up michele obama....

Sijawahi ona mtu analima huku ametandikiwa mkeka....!! Umbumbuwazi....
 
Inatufundisha Viongozi wetu wanajifanya hawataki kugusana na Uchafu wakati ni Wachafu zaidi ya jalala.
 
Mmoja yuko nyumbani kwake kwenye garden yake. Akitoka hapo anaenda kuoga.
Mwengine ni mwalikwa kama mgeni na yuko ugenini.
Sidhani hata Salma akiwa nyumbani kwake anatandikiwa mkeka.
 
ndugu yangu zomba uwe unasoma kwa umakini bas,,,,,,,,kuna neno MFUMO nimelisema sana.........the system at work ndo ya kiaina, asa huelewi nini mpaka wajibu kiselasela tu,,,,,mfano hai umeoneshwa hapo..............tujibu hoja co maneno ya sokoni
mzalendo mtanganyikazomba ni mzanzibari na uamsho sio makosa yake kukujibu pia hiyo ID yako inamchefua zomba ni mdini so sio ajabu kutetea hiyo hali ilhali anajua huo ni upumbavu mkubwa uliopo kwenye kichwa chahuyo mama,sasa kama kukanyaga udongo shida atamchamba mtoto kweli huyo du.
mzalendo mtanganyika umemsahau huyu zomba alivyoupinga muungano nakutetea kuchomwa makanisa ni huyu huyo tena akiwatukana watanganyika ,zomba huyu huyu anaeleta kila siku thread za udini huku akiwatukana wenzetu wakristo kila kukicha ni huyu huyu ,najua umeshajua akili yake wala usibishane naye ,hapo angekuwa ni mama Annamkapa, pengo angeponda sana sana au pinda ndio angepigilia misumari
 
michelle obama - ametufundisha kwamba hata ukiwa mke wa rais kuchafuka na udongo siyo tatizo.

Salama Kikwete - ametufundisha kwamba mke wa rais atakiwi kuchafuka na udongo ndo mana unatakiwa uvae vizuri na utandikiwe mkeka.
 
Kwa hiyo Dr Kikwete sio mwanasiasa na pia Barack Obama sio Rais?
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.

In fact vile vile kumbuka kuwa elimu ya juu ya Kikwete ni Bachelor of Arts in Economics wakati elimu ya juu ya Obama ni Juris Doctor; lakini Kikwete anitwa Dr Kikwete wakati Obama anaitwa Mr Obama.

Kikwete alikuwa Luteni Kanali wa jeshi wakati Obama alikuwa Professor wa Constitutional Law hapo University of Chicago. Iwapo Obama angebadilishana sifa za kielimu na Kikwete, basi Kikwete angekuwa anajulikana kama Professor Kikwete. Na endapo ingetokea wakabadilishana nchi wanazoongoza, basi sijui tena ingekuwaje.
 
Mmoja ana mambo kama ya mme wake atandikiwe mkeka ndo aweze kufanya kazi za kijamii asichafuke
Mwenzie mama Obama ni picha ya ukweli na anafanya kitendo cha kujitolea kiukweli.. ndo maana haangalia vumbi wala udongo.
yaani sisi mmh!
 
Umeshaamua kwenda shambani ukubali kuchafuka...!!! Big up michele obama....

Sijawahi ona mtu analima huku ametandikiwa mkeka....!! Umbumbuwazi....

Sijawahi ona Mtu analima huku kapaka makeup na kajiremba na nywele zina wakakiasi icho hongera mama obama kwakulima huku umejipodoa
 
Yaani katika picha zilizoharibu mood yangu ni hii...yaani naona viongozi wa afrika hasa tanzania wanavyojilisha upepo...
 
Sidhani kama nitakuwa nimevunja taratibu za Jamvi, ila ukweli ni kuwa mmoja ni limbukeni na mwingine ni mnyenyekevu!!
Mmoja ana mambo kama ya mme wake atandikiwe mkeka ndo aweze kufanya kazi za kijamii asichafuke
Mwenzie mama Obama ni picha ya ukweli na anafanya kitendo cha kujitolea kiukweli.. ndo maana haangalia vumbi wala udongo.
yaani sisi mmh!
Umeona ee FirstLady1? Ndo wabongo tulivyo, juzi juzi alikuwa anapanda daladala kwenda shule ya msingi kufundisha, leo hii anasafiri na ving'ora na kuhisi hajawahi kukanyaga udongo? Hivi akienda kule kijijini kwao Singida vijijini anafanya aje? Anyway sipendi kuongelea mtu binafsi!!!!
 
SALMA+2.JPG




Mke wa rais, Salma Kikwete akimwagilia maji mti alipotembelea kituo cha kulea watoto cha SOS jijini Dar Es Salaam. Kinachogomba ni huyu mama kuwekewa mkeka kusimamia ili kumwagilia maji. Inashangaza viongozi wetu na wake zao wanavyoogopa udongo ilhali wametokea huko. Na isitoshe utajiri wanaochuma toka kwetu unatokana na udongo huu huu. Je huu ni mfano gani kwa vijana wetu kuhusu kupenda udongo na kufanya kazi za mikono? Ajabu huyu ni mke wa mtu anayejigamba kutetea sera yake ya Kilimo Kwanza. Hapa ni Kilimo Kwanza au Usafi Kwanza? Hivi nani anawashauri watawala wa namna hii ambao wnaishi kwenye Alinacha na dunia feki? Kwanini hawakujifunza kwa watawala walioonja chungu ya kuishi kwa kujidanganya kama Muamar Gaddafii ambaye hakuwa akijua kuwa walibya walikuwa wakimchukia hadi kumuu kwa kipigo kama mwizi? Nisaidieni jamani.






  • thumbnail.aspx
  • michelle-obama-garden-062010-590-494x329.jpg
  • original.jpg


Kuwa sisi wenyewe tunawaona viongozi kama kitu tofauti na sisi kwani hilo busati nina hakika hakuja nalo Salma Kikwete lakini msururu wa watu wote haijawapitikia akilini kuwa wakweli. Busati nafasi yake kwenye hitima na shambani ni pahala pa mazingira yake!
 
ushenzi mtupu..! kama kweli angetaka mkeka.. angemwambia mume wake atuwekee mazingira ya kua na mkeka wakati tunalima.. mimi nisinge uweka wakati wa maandalizi sana sana ninge hakikisha udongo unakua sio m-bichi...!!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom