Salama Jabir is back in business on tv..yoo

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
mwanadada msela ambaye ana miaka takriban 15 hajawahi kuvaa sketi na ambaye altksa sana 2000's na show yake ya planet bongo on ea.tv & radio na baadae kutoweka na kwnda uingereza kuongeza elimu yake na kumwachia kpnd chake abdallah hamis ambua..
Pia mwanadada huyo anatesa sana kwa u-judge makn ktk shndano la bss,sasa hv ameamua kurud kuwa mtangazaj ndan ya e.a tv na show itakayoitwa mkasi tv ambayo itaanza kurushwa cku ya juma3 ya tar 14..
Show hyo itakuwa kila siku ya juma 3 saa tatu na nusu usiku...yoo
 
I hope ujuzi na umakini utakuwa umeongezeka.Tunataka mabadiliko katika nyanja nzima ya Media.well come back.
 
Ayaaaaa !mnatuletea tena huyu mvuta bangi ! na hizo sketi akivaa si atachekesha huyo ! manake na emagine hiyo miguu nazani ni kama fito !
 
Mpelekeni kwanza kwa dokta kapiteni yule Mkongomani pale TMJ akamshughulike manake anapenda design hizo
 
mwanadada msela ambaye ana miaka takriban 15 hajawahi kuvaa sketi na ambaye altksa sana 2000's na show yake ya planet bongo on ea.tv & radio na baadae kutoweka na kwnda uingereza kuongeza elimu yake na kumwachia kpnd chake abdallah hamis ambua..
Pia mwanadada huyo anatesa sana kwa u-judge makn ktk shndano la bss,sasa hv ameamua kurud kuwa mtangazaj ndan ya e.a tv na show itakayoitwa mkasi tv ambayo itaanza kurushwa cku ya juma3 ya tar 14..
Show hyo itakuwa kila siku ya juma 3 saa tatu na nusu usiku...yoo
Promo!!?? peleka facebuk mkuu!!
 
Nani alikwambia kaenda Uingereza kusoma??? Kasoma kozi gani, chuo gani?? Ametunukiwa nini?? Alienda kutembea tu mkuu baada ya kupigwa chini EATV ni zaidi ya mwaka sasa anashinda MJ records kuskilizia dili za kuingiza sauti kwenye matangazo ya redio yeye na Musa wa Uswazi.. Kwa kifupi wamechoka kwa sasa wanauzia majina tu.. Naona amepiga magoti kurudi kwenye ajira na sio IS BACK bali she is begging...

wacha uongo wewe Tuko na Musa Oneplus communication.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom