Salam

karib sana. ilikuwa tukukaribishe kwa mziki lakini bahati mbaya redio letu limemaliza betri
 
Ahsanteni sana.

Naelewa kuwa Ngeleja analala mno, labda alipata mashambulizi toka kwa mbung'o hivyo suala la umeme ni 'inshu' na kutumia betri kupiga muziki si busara kiuchumi, ukizingatia kuwa nauli ya daladala imepanda.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom