Salam zao Apson na Mboma

Status
Not open for further replies.
Mola atakulinda na historia itakukumbuka MMM,Be firm as always,Lakini nikukumbushe Pharao wa Misri Katika Bahari ya Sham....Mafisadi ni nani????
 
Hapa kuna CHESS game ,sijui ni nani ataibuka kidedea,Mzee Mwanakijiji hebu iweke wazi hiyo game ,ili kama itawezekana tuweze kulinganisha move !
Mtu wao huyo pingine kanyimwa posho.Sisi wengine tuitikie Ameen Wanajuna kwa vilemba
 
"heshima ya uoga ni utumwa" mwalimu J.K Nyerere. Miaka hii ya uhuru wa habari bado unaongea kwa mafumbo mzee mwanakijiji? ujumbe utafikaje kwa walengwa kama hawataelewa mafumbo?
 
Hivi kwanini tusianzishe juhudi ili mafisadi wasi ruhusiwe kuingia katika nchi zinazo pinga ufisadi?

I heartly support this move. Twaweza anzisha advocacy ya kimataifa mfano wa transparency international, dhidi ya uharamia huu UFISADI
 
"heshima ya uoga ni utumwa" mwalimu J.K Nyerere. Miaka hii ya uhuru wa habari bado unaongea kwa mafumbo mzee mwanakijiji? ujumbe utafikaje kwa walengwa kama hawataelewa mafumbo?

Hii Nimeipenda Kiongozi, Thumb-up !!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom