Salam za mwaka mpya toka ughaibuni

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
heri ya mwaka mpya wana JF wote na poleni kwa mgao wa umeme.kama wewe ni msichana mwanamke upo tz na hujaolewa i mean upo single,uliachika , dini yoyote , umri wowote hata kama ulishazaa mtoto mmoja lakini unaweza kuni pm. Sikukuu njema
 
Mmmh akuPM kuhusu nini sasa?Unataka kumpeleka ughaibuni kumuondolea adha ya mgao?
 
unavigezo gani? sitaki kukuuliza hata umri wako...sheria zangu mwanamke haulizwi umri hata siku moja
Kwani we unataka vigezo gani??Mi mnene kidogo...rangi ya kiAfrika...nimeishia form 4...mchapa kazi na mpenda maendeleo!
 
Kwani we unataka vigezo gani??Mi mnene kidogo...rangi ya kiAfrika...nimeishia form 4...mchapa kazi na mpenda maendeleo!

lahaula !! hayo ndio mambo nnayoyataka basi..yaani uliposema rangi ya kiafrica ndio ukaniua kabisa .Arusha kwanza ndio home town nabidi unipm tuongee vizuri.uko tayari lakini kuchukuliwa?
 
lahaula !! hayo ndio mambo nnayoyataka basi..yaani uliposema rangi ya kiafrica ndio ukaniua kabisa .Arusha kwanza ndio home town nabidi unipm tuongee vizuri.uko tayari lakini kuchukuliwa?
Wewe huku UngaLTD kunavyotisha hata kesho njoo unichukue!Ila kwanza nipe vigezo vyako!Alafu usikute unataka kunichuna ngozi ndo maana unafurahia ya asilia!
 
Wewe huku UngaLTD kunavyotisha hata kesho njoo unichukue!Ila kwanza nipe vigezo vyako!Alafu usikute unataka kunichuna ngozi ndo maana unafurahia ya asilia!

Love! mchungaji atatuma salamu kesho saa za bongo! Be blessed all! nawapenda wote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom