Salakana aamua kumpinga Ndesamburo mahakamani

asante sana GEZA ULOLE kwa source na nimekubaliana na wewe kuhusu uhusiano wake na ndesamburo lakini swali langu la msingi
ambalo nilisisitiza kwamba hata kama alikuwa mtoto wa ndesa hiyo siyo hoja ya msingi bali tunatakiwa kuangalia uwezo wake na michango ndani ya chama kwa SOURCE uliyotuma anaonekana ana elimu nzuri tu na anaonekana ni mtu anayefanya homework kisawa sawa kulingana na upeo wa maelezo yake kuhusiana na issue za viwanda lakini la misingi zaidi pia alijiunga na chama lini, michango yake ndani ya chama na SIYO ISSUE YA NANI AU MTOTO WA NANI ??
kuna swala linaitwa "nepotism" ukiweza kujua uhusiano wa neno hili na "parochial politics" na na uhusiano na whole idea of "impunity"! unaweza kuwa na serious discussion nami! Pia jaribu kuangalia the whole issue of "Good Governance" with case studies in Africa halafu ndio urudi hapa! huwezi kuniambia hakuna replacement wake huyo unayemtetea ndani ya CHADEMA! kiufupi nakupa mfano mmoja recently, angalia katika wale wabunge kumi waliogoma kutoka nje watu watatu wa familia moja ni miongoni mwao, sasa sijui kama that was individual au collective decision as a family, na where are the interests of the party stands! Na pls usisahau ninacholalamika mimi ni ubaguzi na kuhodhi madaraka huko kunakoendelea CHADEMA ilikuwapo hata kabla ya huyo unayeongea hajajiunga nayo na hata kama alikuwapo kama mwanzilishi haina maana ya kuwa so and so apewe nafasi zilizopo zaidi nafasi zigawie strategically and on merit with a view of the future of the party!
 
we chizi kweli mbona jk mweenyewe hana hata hiyo helcopta scrap wachilia mbali huyo kilaza salakana?pesa mbele mzeeee huelewi?salakana hata nyummba ya kuishi hana atamwongoza nani sasa?anakaa ghorofani na wahindi au ndo akishachaguliwa aanze na ujenzi binafsi wakati wananchi tunasubiri maendeleo?
Una uhakika hana nyumba? na biashara zake zilizo Moshi Mjini? ziko mabarabarani sio? huu ndio ubaguzi wenyewe ninao-uongelea ina maana wewe ukiwa unaishi Ilala au Osterbay na unataka ubunge wa Jimbo la Ukonga au Segerea, huna haki ya kugombea sio? tena ukiachia mbali suala la biashara/ofisi zako ziko Segerea na una makazi ya kudumu Segerea hata kama umepangisha nyumba huko! Hizi ni double standards! tukianza kuangalia ni Wabunge wangapi wa CHADEMA wana nyumba katika majimbo wanayowakilisha nina uhakika zaidi ya nusu hawana! tuanze? kwanza kwa kifupi Mnyika hana nyumba Ubungo! pili huyo Mpendazoe hana nyumba Segerea...! Muache ubaguzi nyie manyang'au! suala hapa lilikuwa ni so and so ni MROMBO na hastahili na nina uhakika Mtuhumiwa anaweza nyang'anywa hilo jimbo! sitashangaa
 
una uhakika hana nyumba? Na biashara zake zilizo moshi mjini? Huu ndio ubaguzi wenyewe tunaoongea ina maana wewe ukiwa unaishi ilala au osterbay na unataka ubunge wa jimbo la ukonga au segerea, huna haki ya kugombea sio? Tena ukiachia mbali suala la biashara/ofisi zako ziko segerea na una makazi ya kudumu segerea hata kama umepangisha nyumba huko! Hizi ni double standards! Tukianza kuangalia ni wabunge wangapi wa chadema wana nyumba katika majimbo wanayowakilisha nina uhakika zaidi ya nusu hawana! Tuanze? Kwanza kwa kifupi mnyika hana nyumba ubungo! Pili huyo mpendazoe hana nyumba segerea...! Muache ubaguzi nyie manyang'au! Suala hapa lilikuwa ni so and so ni mrombo na hastahili na nina uhakika mtuhumiwa anaweza nyang'anywa hilo jimbo! Sitashangaa
acha kulalama oohoo mrombo sijui mu-old moshi we kubali tu salakana kwa babu ni kama matumla kwa tyson mkuu.mbona mbishi ka mrombo weweee?alafu angalia zile kura anazoongoza malaria sugu kama puba boy of the year zisikukumbe mkuu.kubali tu salakana si lolote wala chochote hapa moshi.
 
acha kulalama oohoo mrombo sijui mu-old moshi we kubali tu salakana kwa babu ni kama matumla kwa tyson mkuu.mbona mbishi ka mrombo weweee?alafu angalia zile kura anazoongoza malaria sugu kama puba boy of the year zisikukumbe mkuu.kubali tu salakana si lolote wala chochote hapa moshi.
nathani the gist of argument is loosing its tone inabidi nikuache maana level yako ya kufikiria ni ndogo! hujajibu suala lolote kama Lucy Owenya anastahili hiyo nafasi na kwanini wasipewe wengine kama mikoa ya Kusini na Pwani ambako hamna representatives wa CHADEMA! Huyo mama unayemtetea ninamfahamu inn and out na hizo sifa unazompa hana kama unabisha naweza kumwaga upupu wake hapa! Pili ubaguzi unaotetea ndio uliua NCCR-Mageuzi maana lyatonga alifikiria yeye tu ndo anapaswa kuwa Mwenyekiti akakosana na great thinkers Marando na Lamwai! na ndio tunakoelekea sasa suala halikuwa si uwezo wa Salakana ila ni "Mrombo" hapo ni dhahiri kuwa katika Moshi kuna majimbo lazma yatayaliwe na mtu flani toka sehemu flani! na dhambi hiyo haikuishia hapo bali hata viti maalum vinapaswa viende kwa watoto na nduguze na si watoto wengine wenye more potentials na ambao wata-represent strategies! na pili hana nyumba ya kuishi Moshi Mjini japokuwa ana makazi Moshi Mjini (Mkazi wa kudumu) na biashara zake (vitega uchumi) Moshi Mjini! pia ana nyumba sehemu nyinginezo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro...! Na hizo pesa unazosema anazo huyo Ndesamburo ni HYPE ukiangalia vizuri ukusanye assets zake zoote changana vi-hotel uchwara vyake na mali za watoto wake na helicopter mbili mbovumbivu, they don't worth Tshs 3 billioni! sasa, katika wanaume wenye hela, sijui utamweka wapi au majigambo yake ni sawa na hela? uende kulala mbumbumbu wewe...
 
Back
Top Bottom