salaamu kutoka TCRA

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
mamlaka ya mawasiliano TCRA imeongeza muda wa kusajili line za simu hadi 30 juni 2010, wale waliokuwa wanatuchukulia pesa zetu kisa eti ugumu wa kusajili wameula wa chuya.
 
heheheheh!:D
 
habri njema hii!, nilikua nataka nitoroke kazini nikasajili, loh.
senksi TCRA.
 
mamlaka ya mawasiliano TCRA imeongeza muda wa kusajili line za simu hadi 30 juni 2010, wale waliokuwa wanatuchukulia pesa zetu kisa eti ugumu wa kusajili wameula wa chuya.
ghafla ile misururu ya wanaosajili itayeyuka halafu itarudi tena kuanzia Juni 20 2010. Yangu macho
 
mamlaka ya mawasiliano TCRA imeongeza muda wa kusajili line za simu hadi 30 juni 2010, wale waliokuwa wanatuchukulia pesa zetu kisa eti ugumu wa kusajili wameula wa chuya.
haaaaa,
hapa nilikua sijaona,
kweli 30 JUNI 2010?????????????????????
 
Mbona mimi niliye waletea habari hii hamnipi ongera, mnapongeza TCRA tuuuuuuuuuu???!!!
 
mamlaka ya mawasiliano TCRA imeongeza muda wa kusajili line za simu hadi 30 juni 2010, wale waliokuwa wanatuchukulia pesa zetu kisa eti ugumu wa kusajili wameula wa chuya.
Mzee wa uwanja,,,Zimethibitishwa hizi habari!!??
Usije kufanya watu tukaendelea kukalala
 
Back
Top Bottom