salaam

Hili litakuwa dume hadi limeruka fensi badala ya kupitia mlangoni!? Karibu bwn. Ng'ombe
 
ng'ombe!! Wee kweli ng'ombe! Karibu na ung'ombe wako

Jamani katangulia kusema ye ni mgeni, kama karuka zizi ruksa.
Karibu Ng'ombe, jisikie kama uko zizini, ukihitaji malisho tembelea ranchi la wakubwa utamkuta maria roza anakusubiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom