Salaam wanajamii

Asante mkuu, humu kuna mambo mengi mazuri sana, tuko pamoja sana.
 
Asante sana, hii ID yako inanikumbusha mbali sana!
 
Kivyako vyako karibu ila humu ndani hautakiwi kuwa kivyako kwani ushirikiano katika masuala. mbalimbali. Karibu sana jisikie una miliki utakacho humu jukwaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom