Salaam toka hong kong, japan and china- kwa wale wapenzi wa magari tuwasiliane

Sep 30, 2010
19
0
Ndugu wana JF,

Mimi ni mtanzania mzalendo nipo huku Far eastern Asia tunajaribu kuwa wajasiliamali kwenye viwanja vya watu hivyo nimeona niwape ujumbe huu kuwa kama kuna ndugu yangu yoyote anahitaji kuagiza MAGARI YA AINA YOYOTE, ELECTRONICS NA MACHINERY PAMOJA NA VIFAA VYA UJENZI naomba tuwasiliane.

Tuna ofisi zetu Japan, Hong Kong, AND China.

Kwa wale wajasiliamali wanaotaka kuleta bidhaa zao huku kwa kutafuta masoko ya bidhaa pia tuwasiliane.

Tutumie email ifuatayo technobiz.hk@gmail.com
 
Mkuu tutaofautishaje hii na wale jamaa wanautummabiaga tumeshinda mamilioni ya dola kwenye bahati nasibu ambazo hata hukumbuki kuzicheza???????????
 
Best haya maelezo yako hayatoshi kukufanya uwe credible! Ongeza maelezo ili uaminike!
 
Back
Top Bottom