Salaam kwa Ismail Aden Rage - Tabora Mjini; Jiandae...

angalia asije akaku-dito!

Tena ndugu yake huyu hapa ni mtu mkubwa tu huko Somalia anaitwa Ali Mohamud Rage ni Al-Shabaab spokesman
506587519.jpg
 
Jaman na nyie wana Tabora ilikuwaje hapo... Nway nashauri Amsho hili mkampe physically offisin kwake km wananchi wazalendo coz ni serious na asidhan hapo ndo pakutokea..
 
Mnamshambulia rage sababu kamvaa mnyika wa chadema..? Mbona mna chuki za kibinafsi hivyo........? binadamu alielimika hawezi kumkosoa mtu kwa sababu ya kabila lake.. Kumhukumu rage mbunge wa tabora aliechguliwa kwa kura nyingi dhidi ya mgombea wenu wa chadema ni kukosa uvumilivu wa kisiasa na hapa mmeonyesha udhaifu na ubaguzi wa hali ya juu.. Rage ni mtanzania la kushangaza mnamhusisha na kundi l al-shababu kundi la kigaidi huko somalia...

Huko somalia kwenyewe kuna wabunge wa kisomali wenye asili ya tanzania mfano mzee hussein bantu lakini hatujawahi kusikia aina ya ubaguzi mnaoonyesha hapa mashabiki wa chadema ndio maana chama chenu kinanasibishwa na uchagga achilia mbali ukristo....

Huu sio wakati wa kampeni kwani uchaguzi umeisha na rage ndio mshindi wa jimbo la tabora hivyo ngojeni 2015 ndipo mlete mgombea wenu wa chadema ajaribu tena---
 
Baba huandiki upupu hata kidogo, umenigusa palepale mkuu wangu, moja kati ya vitu vinavyouma sana ni namna ambavyo Rage anashindwa hata kuipa nguvu jumuiya ya Nyuki pale barabara ya airport. Hawa jumuiya wangepewa fedha kidogo tu za working capital na kupata mizinga ya nyuki ya kisasa wangepanua sana urinaji wa asali Tabora, vijana wengi wangepata ajira indirectly, kwa mfano angepigania hata kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengenezea mishumaa ya bei rahisi. Kwa kufanya hilo Rage angeleta ajira, nishati (taa yaani usalama) na pia angezidi kuitangaza Tabora kama sehemu pekee ya kupata asali safi Tanzania.

Leo hii kule Pemba wanauza asali, wanasema ni ya mikarafuu, na ina soko hata huko Dar na Tanga, sasa ni kwa nini huyu bwana anakazania Simba tu simba tu utadhani yeye ni mbunge wa Simba, wenzake wanatembelea hata majimbo yake baada ya mikutano ya bunge, yeye sidhani hata at this point in time kama atakuwa Tabora, kweli inauma sana Rage.

Mimi kaka hujasema baya, ipo siku ntakutumia msg provately, hapo ntaivua ID yangu ili tufahamiane mkuu.
Ni mimi,
Pangu Pakavu.
Nyie watu wa Tabora kupenda kwenu hongo za kofia, kanga, pilau, vipande vya sabuni n.k. Ndio maana mnachagua wabunge wa hovyo kama Rostam, Rage, Bashe nk. Elimishaneni mchaguane wazalendo wa Tabora mfanye mabadiliko ya mkoa wenu vinginevyo mtaendelea kupiga kelele kwenye mitandao na wananchi wa Tabora kuendelea kusota matatizo yanayotatulika
 
Mnamshambulia rage sababu kamvaa mnyika wa chadema..? Mbona mna chuki za kibinafsi hivyo........? binadamu alielimika hawezi kumkosoa mtu kwa sababu ya kabila lake.. Kumhukumu rage mbunge wa tabora aliechguliwa kwa kura nyingi dhidi ya mgombea wenu wa chadema ni kukosa uvumilivu wa kisiasa na hapa mmeonyesha udhaifu na ubaguzi wa hali ya juu.. Rage ni mtanzania la kushangaza mnamhusisha na kundi l al-shababu kundi la kigaidi huko somalia...

Huko somalia kwenyewe kuna wabunge wa kisomali wenye asili ya tanzania mfano mzee hussein bantu lakini hatujawahi kusikia aina ya ubaguzi mnaoonyesha hapa mashabiki wa chadema ndio maana chama chenu kinanasibishwa na uchagga achilia mbali ukristo....

Huu sio wakati wa kampeni kwani uchaguzi umeisha na rage ndio mshindi wa jimbo la tabora hivyo ngojeni 2015 ndipo mlete mgombea wenu wa chadema ajaribu tena---
Mkuu iweke vizuri hoja yako... Rage ni Muislaam ref. Al Shabab kamvaa Mkristu ndicho wanachokisema!..
 
Mungu atuvushe salama. Nawashukuru sana kwa mawazo yenu.
 
Mkuu iweke vizuri hoja yako... Rage ni Muislaam ref. Al Shabab kamvaa Mkristu ndicho wanachokisema!..

Nyie watu wa Tabora kupenda kwenu hongo za kofia, kanga, pilau, vipande vya sabuni n.k. Ndio maana mnachagua wabunge wa hovyo kama Rostam, Rage, Bashe nk. Elimishaneni mchaguane wazalendo wa Tabora mfanye mabadiliko ya mkoa wenu vinginevyo mtaendelea kupiga kelele kwenye mitandao na wananchi wa Tabora kuendelea kusota matatizo yanayotatulika

Wanatabora endeleeni kuwa wapumbavu wa CCM
 
pumba.....

Pumba ni mkeo

Nyie watu wa Tabora kupenda kwenu hongo za kofia, kanga, pilau, vipande vya sabuni n.k. Ndio maana mnachagua wabunge wa hovyo kama Rostam, Rage, Bashe nk. Elimishaneni mchaguane wazalendo wa Tabora mfanye mabadiliko ya mkoa wenu vinginevyo mtaendelea kupiga kelele kwenye mitandao na wananchi wa Tabora kuendelea kusota matatizo yanayotatulika
 
kazi yake kutifua jivu la cdm. Lina moto muambieni. Siasa si simba

Tabora wote ni kama Rage

Nyie watu wa Tabora kupenda kwenu hongo za kofia, kanga, pilau, vipande vya sabuni n.k. Ndio maana mnachagua wabunge wa hovyo kama Rostam, Rage, Bashe nk. Elimishaneni mchaguane wazalendo wa Tabora mfanye mabadiliko ya mkoa wenu vinginevyo mtaendelea kupiga kelele kwenye mitandao na wananchi wa Tabora kuendelea kusota matatizo yanayotatulika
 
safari yake iko karibu mno ! Cdm hatutakubali wabeba bunduki kuendelea kuongoza Tabora mjini .
 
Huo mkoa wautangaze hifadhi ya taifa ya nyuki na wakazi wa hapo wahamishwe kwa kukosa upeo,labda nyuki wamewangata vichwani,rage ana historia ya wizi tff,lakini mmempa ubunge, aa kashfa za hela za okwi lakini bado tu mtampa ubunge!!! (+hel,anyway sishangai nyinyi wana tabora mna historia mbaya na nchi hii ndio maana taifa liliazimia kuwatenga, mapalala ni wa tabora,kasela bantu tabora,kasanga tumbo tabora,fundikira tabora,lipumba tabora,mna bahati mjerumani alipitsha reli hapo mjini,na kujenga vi shule,msingeona kitu
 
muda wa kazi tuache utani rage alipata vipi ubunge si mfungwa yule alimaliza kifungo au mwizi mwenzake alimpa msamaha???
 
Huo mkoa wautangaze hifadhi ya taifa ya nyuki na wakazi wa hapo wahamishwe kwa kukosa upeo,labda nyuki wamewangata vichwani,rage ana historia ya wizi tff,lakini mmempa ubunge, aa kashfa za hela za okwi lakini bado tu mtampa ubunge!!! (+hel,anyway sishangai nyinyi wana tabora mna historia mbaya na nchi hii ndio maana taifa liliazimia kuwatenga, mapalala ni wa tabora,kasela bantu tabora,kasanga tumbo tabora,fundikira tabora,lipumba tabora,mna bahati mjerumani alipitsha reli hapo mjini,na kujenga vi shule,msingeona kitu

Ha! Ha! Ha! Haaaa!!!!! UMETISHA SANA !
 
hosam hivi kumuweka huyu Bwn Rage kuwa mbunge katiba haijakiukwa kweli??
This xjail man how did he qualify to be Tabora MP??
MaCCM maajabu hayataisha, criminal offender an MP??
Mkuu anza mapema kampaini, waombe kina Aliphonce and team
CDM, Ukombozi wa Tabora ni muhimu, kazi kwenu wana Milambo!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom