Salaaam

mashakabwa

New Member
May 3, 2010
3
0
Habari wana jf, nimekua nikifaidi ya baraza hili nikia kwa nje muda mrefu, sasa nimeamua niingie ndani kwani utamu wa ngoma si kuangalia wengine bali kuingia nakucheza. MASHAKABWA
 
karibu tena ingia, si kwa tabu ni raha tu Ulizozoweya,
ni kwa irabu na konsonanti ndo tutaongeya,
si ndimi au fimbo za kuchapiya,
utamuwe si wa kuhisabiya na hamuye hitokwishiya,
karibu kaka, karibu mdogo, karibu muungwana,
karibu na hapo ndo pa kuanziya,
we ingiya ,ingiya, uwe mmoja wa kondooo! ingiya uweze jioneya,
ingiya uje tusaidiya, ingiya uje kuchangiya.

KARIBIA EWE MTANZANIA........... JONGEA UJE TUSIMULIA.........:drum:
 
Umepokelewa karibu sana hapa ndo home kwetu na hii ndo familia yetu jisikie upo kwako!!
 
Asanteni wenyeji wangu first lady 1, Dreamliner ,Bwanashamba,Edgartz na mswahilian mtaaluma wa kiswahili kwa shairi dogo nimejihisi mwenyeji tayari siku njema kwenu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom