Sala ya kuombea kabati ya mume

TaiJike

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
1,483
666
Sala ya kuombea kabati ya mume baada ya kuifua. Naiombea kabati ya mume wangu anapotoka ktk nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu, kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu basi na iwe kwa ajili ya kunya au kukojoa tu naikabidhi ikiwa safi. Kama itavuliwa kinyume na niliyosema basi nyoka wake akapigwe upofu asilione tundu analolitafuta
 
Back
Top Bottom