Sala ya Bwana...

WISDOM SEEDS

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
841
282
Mtoto mdogo wa umri kati ya miaka nane na kumi aliyeishi na wazazi wenye kupenda sana dini,
walimfundisha jinsi ya kusali sala ya bwana, ambayo aliambiwa kuwa lazima awe anasali kila siku usiku
kabla ya kulala. Ili asiisahau walimwandikia kwenye karatasi.

Alisali kwa siku kadhaa akachoka na kuamua kuibandika kwenye ukuta jirani na kitanda chake, ikawa kila anapotaka kulala huinyooshea kidole na kusema, "Mungu mi' nimechoka utasoma mwenyewe..." kisha anapanda kitandani na kulala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom