Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,486 86,003 Oct 16, 2010 #1 Nimepokea ujumbe sasa hivi, ukionyesha kuwa sehemu ile maarufu ya B-Bar leo kuna Sale ya Kitimoto. Nimeona nisiwe mchoyo niwajulishe na nyie wadau, japo tukapunguze machungu ya Kampeni. Karibuni
Nimepokea ujumbe sasa hivi, ukionyesha kuwa sehemu ile maarufu ya B-Bar leo kuna Sale ya Kitimoto. Nimeona nisiwe mchoyo niwajulishe na nyie wadau, japo tukapunguze machungu ya Kampeni. Karibuni
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,486 86,003 Oct 16, 2010 Thread starter #2 Twendeni basi, offer kwangu, hivi ile get together ya JF iliishia wapi?