Sakina

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
sakina.jpg Sakinneh.jpg

Huyo kisura anatakiwa apondwe mawe huko Iran hadi kufa, baada ya mfungo wa Ramadhani.

Oooh!! God.:A S cry::pray2::amen:
 
There you GO:

Many hadith, including Sahih Bukhari give proof that Stoning was ordered and practiced by Muhammed, for example:
Volume 2, Book 23, Number 413:
Narrated 'Abdullah bin 'Umar :
The Jew brought to the Prophet a man and a woman from amongst them who have committed (adultery) illegal sexual intercourse. He ordered both of them to be stoned (to death), near the place of offering the funeral prayers beside the mosque."
 
Mambo ya imani nyingine bwana, me nashindwa kuelewa!
i stand to be corrected,hii cruelty ya baadhi ya jamii mi naona kama wanatumia dini kama visingizio tu lakini ukweli kuna jamii ambazo ziko predisposed kufanyiana ukatili wa ajabu with dini or no dini,nikimaanisha historically wako hivyo hata kabla ya advent ya uislam 1500 years ago. Sorry to say this lakini arabs kama arabs (NA WOTE WA MAENEO HAYO INCLUDING PERSIANS,AFGHANS ETC)na sio kama Moslems wananitia shaka sana na mentality yao kuhusu thamani ya life kama jamii,Mungu anisamehe lakini that is my feelings.
 
Jesus walimpelekea mwanamke kama hivi na akawaambia;NA ASIYEKUWA NA DHAMBI AMPIGE MAWE:Hakuna aliyebaki.
 
kwa hivyo unamanisha kwamba hata majaji wetu hawana haki ya kumfunga mtu kwa kuwa nawao wanakasoro nyingi tu kama za wanaowahukumu?

Give it a try....brake the law got to court and tell the judge that you are also a lwabreaker and see what happens...even without a barghashia :lol::lol:
 
uislam sio imani tu kama unavyotaka tuamini, uislam ni mfumo kamili wa maisha. Kuanzia sheria, uchumi ,siasa na mambo yote kama vile agano la kale la biblia linavyotaka kabla

Mkuu unajua ulichoandika maana yake? Ama wewe huna elimu dunia?
 
The sad case of the 43-year old Iranian woman Sakineh Mohammadi Ashtiani has shocked the whole world and the authorities were compelled to put in hold the ‘stoning to death' sentence due to the International pressure. But she is now being subjected to immense mental pressure – she had been told that she would be hanged on Sunday. She accordingly prepared herself mentally, bid good bye to her cell mates but the hanging did not happen. She is being told that no one of her family comes to visit her in prison when, in reality, her son has been turned away several times saying that she does not want to meet him!!
Instead of stoning to death, Sakineh is subjected to mental tortures plus 99 lashes!!!!
 
Back
Top Bottom