SAKINA DATOO apewa Uhariri Mkuu This Day na Kulikoni

Status
Not open for further replies.
GT: Kwa muda mrefu Mengi amekuwa akiajiri Wahindi katika vitengo vya fedha
kwa hiyo hiyo unasema ya "list ya bosi wake" haipo, ni hisia/uzushi wako tu.

halafu nasikia mshahara wa mama huyu ni mkubwa zaidi ya 10m/- pm -- hakuna Mswahili aliyewahi kulipwa mshahara huo katika editorial dept. Naamini ktk cheo chake kipya hatapunguziwa mshahara huo kwa hivyo ajiuzulu kwa sababu gani?

pitia tena sources zako
 
ikaaje tena?

hiyo ndio hali halisi...mle ndani alifika point hata kazi hawezi kufanya vizuri kwani kila mmoja anajaribu ku accommodate ili asionekane ni racist lakini ukweli ni kuwa imani ilishakwisha yeye kama alivyosema jamaa hapo juu alitumiwa lakini end product ilipotoka mambo ndio ndio hayo mnayoyaona
sijaona uhusiano wa hijab na maelezo yako....
 
Baada ya kuongea na Sakina kwa simu nimeelezwa haya:

Hajaachishwa kazi...

Aliajiliwa kwa ajili ya kazi maalum ambayo ndo wakati wake umefika. Kazi hiyo ni kuhariri "ThisDay On Sunday" na kazi aliyokuwa akifanya ilikuwa ni ya muda tu wakati mchakato wa uanzishwaji wa gazeti hilo jipya ukiendelea.

Inasikitisha, tusiigeuze JF kuwa sehemu ya kumalizia hasira zetu kwa watu pls!

Invisible
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom