Sakaya awasilisha ushahidi kwa spika

in and out

Member
Jun 30, 2011
69
6
magdalena sakaya mbunge wa viti maalum wa cuf jana amewasilisha ushahidi kwa spika wa bunge juu ya yale aliyozungumza wiki moja iliyopita juu ya wakuu wa wilaya kuchukua mifugo ya wanainchi.
 
Hivi kumbe Sakaya ni wa C.U.F.? Nilidhani CHADEMA....lol. Sasa anapata wapi ubavu wa kuikosoa serikali wakati CUF na CCM ni wamoja ?Ningemshauri ahamie CDM.
 
Ushahidi kwa Bunge letu hili wala hauna maana. Pengine matokeo mtapewa 2014!
 
Hivi kumbe Sakaya ni wa C.U.F.? Nilidhani CHADEMA....lol. Sasa anapata wapi ubavu wa kuikosoa serikali wakati CUF na CCM ni wamoja ?Ningemshauri ahamie CDM.
Uliwahi kujiuliza kazi ya mbunge ni nini? anyway sitaki kuamini kama upeo wako wa ufahamu kuhusu hili umekomea hapo, too low.........
 
hivi ushahidi wa zito na mch msigwa uliishia wapi?
bunge limeshakuwa kijiwe cha kucheza bao.
chadema ni kuwasha moto tu hata kwa matusi kwani hakuna matusi mabaya kama kuweka sheria na kushindwa kuzisimamia.
hakuna cha kuthibitisha wala nini ni mawe tu
serikali legelege huzaa serikali pumbafu.
 
Uliwahi kujiuliza kazi ya mbunge ni nini? anyway sitaki kuamini kama upeo wako wa ufahamu kuhusu hili umekomea hapo, too low.........

Hapo kwenye red. Usiulizie kazi za mbunge ndugu, Ulizia kazi za mbunge wa CDM kwasababu CUF hawafanyi kama tulivyowatuma.There is an incredible difference btn CDM MP and CUF MP when it comes to opposing the government by criticizing its policies, suggesting the alternatives and keeping the public informed.
 
That's very clearly stated, thanks mkuu!
 
Kwa kuwa buinge huoneshwa live na wanapopeleka ushahidi kama hauzungumzwi live ni wajibu wa wabunge kuutoa live nje ya bunge pia ili wananchi wawe mahakim.
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimeanza kusoma post zako hapa jf, leo Faiza Foxy angalau umepost wazo lenye kaumaana flan! Au ndio shetani akizeeka anakuwa malaika?
 
Back
Top Bottom