Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Ok ok,basi achana na hili na ngoja niongee na cuzoo wangu charty akusamehe.
Though huu mziki umeuchokoza mwenyewe,ni vile nimekumbuka vile tunavyoheshimiana.
Sasa next time usirudie,hii leo nimetumia busara tu.
msamaha wa nini tena...muache aendelee hadi mwisho!!akuanzae mmalize mie sina nidham ya uoga...enjoy ze show plzzzz
 
msamaha wa nini tena...muache aendelee hadi mwisho!!akuanzae mmalize mie sina nidham ya uoga...enjoy ze show plzzzz
Pls msamehe cuzoo,nimekumbuka jamaa tunaheshimiana nae ila leo kateleza bhanangeeee....
Pls pls tukalale zetu mae.
Si wajuaga vile nakupenda eeeh?Hope hutoniangusha katika hili.
 
Anaekuanza mmalize
Wewe nae hebu kaa kimya huko,tuache tuendelee na ubuyu wetu.
Kwanza wewe ndio umeanzisha yote haya,inakera ila basi tu tunafunika kombe mwanaharamu apite.
 
hahaaaa eti msukule..bora mie msukule kuliko maiti wee unayetembea...hivi unajua wee una mkosi tokea uangukiwe na kitovu kwenye kibamia chako ukawa hanithii basiii unawaaaashwaa mda wote...naona unatafutwa kukunwaa shogaah kichaaa kishakupanda ptuuu...yarabi na ulivo mchafu kuoga hata mume hupat siku hiziii !!
Lala mwanangu, baba wako wa kambo nakuomba ulale upumzike, ili yale matatizo yako ya akili yasije jirudia
 
Wewe nae hebu kaa kimya huko,tuache tuendelee na ubuyu wetu.
Kwanza wewe ndio umeanzisha yote haya,inakera ila basi tu tunafunika kombe mwanaharamu apite.
Ah ah ah! Angalia ni wapi nimemuanza, sijui hata katoka wapi huyo msukule wako, amequote na kuanza kunitukana, sijui anadhan kuna tusi jipya? Akajipange upya
 
ImageUploadedByJamiiForums1455053318.694300.jpg
 
Duuuh hao timu mama ubaya wana kasumba na zari walianza na shoo ya Nairobi kuwa white party haijapata watu wakaona hainogi wamerudi kwenye tangazo la voda kuhusu kalio usuper star ni shida
 
Kaaazi kweli kweli yani kuna watu wamuona domo na zari miungu watu, kweli we differ in perceiving issues
Ninachopendea jukwaa hili ukimsema wema rukhsa
Kiba ruksaaa
Sijui rayc na wengineo (hata king of alk social media ) ruksa...

Ila ujimsema domo na zarina mapovu telll

Mfyuuuuu zao wasisemwe wao nani???? Watu waache shobo
 
Hivi diamond ni nani hasa hapa Tz kwamba kila mwanamke anavutiwa nae?? Alafu nyie watoto wa kimbiji mna shida sana... Huyo diamond kamiliki mtoto gani classic hapa mjini zaidi ya hao hao ambao watu tunawala bila shida
Word.....
 
Ni umbea, chuki na wivu hakuna jipya.. Na licha ya yote Chibu Dangote kashasema huyu mtoto mbichi kama embe la msimu, yupo boura kuliko aliowahi kupiga matonge huko nyuma (JoJo, sepenga, naj, etc.) ye ndio kaona na kutumia zaidi ya picha za kuwa edited..

Ila huyu Zari nayeye anamatatizo sana, haileti picha nzuri kuvijibujibu vidampa vya town vinavyokeshea university promo kutukana watu, kupoteza muda wa kuwajibu licha ya maneno yao kuchoma kwa wakati Fulani...

Swala la Zari kutumia muda wake kujibu wapuuzi linamfanya aonekane mpuuzi kuliko hao wapuuzi. Diamond aingilie Kati kumbadili kwenye hili...
 
Hili suala nililisema mwanzo watu hawakunielewa wakamwagika povu sana,sasa naona akili zinaanza kuwakaa vizuri.
 
Bossilady muda wa kujibu fans anautoa wapi????

Wakajifunze kwa jn mengi..... negative coments anadelete na kublock kwisha kazi......huyo ndio Bosslady
Hapo umemaliza kujifanya bosslady akati anafatilia maisha ya watu insta...hehehee mbona upande wa pili wanamsema jamani Tanzanians we are fools for sure yaani Mtu sijui kakurupukia Wapi na migodoro yake anaropoka tuuu shenzi na tunamsapoti akati kwao ndio kwanza wanamuona kama mimi tu endeleeni kumpaisha
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom