Sakata la wizi wa masanduku ya kura Kisarawe, Chadema yashinda uchaguzi wa Marudio

Attachments

  • mutu ya hasira .jpg
    mutu ya hasira .jpg
    12.8 KB · Views: 52
Nawashukuru wote mliochangia bahati mbaya leo akina Rejeo, Riz1, nk hawajaonekana, nilitamani sana michango yao pia

M/KITI sijui hapa kwetu tulishindwaje! ile research ya TANSAO ilinipa moyo sana, mimi kwa sasa ngoja nijenge chama, salaam sana uko...
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke,asante Aweda kwa taarifa,ikiwezekena tuwasiliane ili utafute namna nzuri ya kumjenga awe mwenyekiti wa kijiji bora,niko tayari kutoa makabrasha mazuri ya kumuongoza afanye kazi vizuri na kwa kujiamini akiwa mwenyekiti wa kijiji,unaweza kuni PM halafu tutawasiliana ili niweze kutoa nondo hizo.
 
Asante,
Mkuu hapa ndiyo inapokuja umuhimu na faida ya Jf, na ndipo mimi ninapoikubali JF itachangia mabadiliko ya nchi hii. Nitaku PM na namba zangu za simu pia ziko kwenye signature yangu alternatively.
 
M/KITI sijui hapa kwetu tulishindwaje! ile research ya TANSAO ilinipa moyo sana, mimi kwa sasa ngoja nijenge chama, salaam sana uko...

Mkuu mwita,
Kugawanyika kwa kura za wapinzani kati ya CUF na Chadema ndicho kilichotuangusha kwenye udiwani. 2015 mchezo utakuwa kati ya wewe na ccm. 90% I believe you will win.
 
Back
Top Bottom