Sakata la wizi wa masanduku ya kura Kisarawe, Chadema yashinda uchaguzi wa Marudio

Wiki chacha zilizopita nilianzisha uzi hapa JF wa kuahirishwa kwa uchaguzi wa kijiji cha Mwanzo Mgumu, kata ya Msimbu wilayani kisarawe Mkoa wa Pwani ( Nyumbani kwa Baba Riz 1) kutokana na 'mabaunsa' wasiofahamika kuvamia chumba cha kuhesabia kura na kutokamea masanduku yote yaliyohesabiwa kura na yasiyohesabiwa kura. Vile vile nikasema kuwa wakati huo Chadema walikuwa na zaidi ya kura 100 zilizohesabiwa huku CCM ikiwa na kura zaidi ya 20. Nikasema kuwa Uongozi wa wilaya haukuweza kumchukulia hatua mtu yo yote pamoja na wananchi kuwataja wahusika siku chache baada ya tukio hilo...

Naona CD ya ccm ya Ukabila imepotea, ya Ukanda imepoteza wateja na sasa ya udini nayo imeanza kuchuja (Mwanzo mgumu Msimbu wakristo 5%).. Je, ni CD gani sasa itazinduliwa na ccm? ya Chama cha vurugu? Kazi kwao. Mimi sipo.

Chadema will always win. CCM mchujo wake ni mkali sana.
 
kweli singo zote zimechuja ccm sijui watakuja na singo gani mpya.!
 
Wiki chacha zilizopita nilianzisha uzi hapa JF wa kuahirishwa kwa uchaguzi wa kijiji cha Mwanzo Mgumu, kata ya Msimbu wilayani kisarawe Mkoa wa Pwani ( Nyumbani kwa Baba Riz 1) kutokana na 'mabaunsa' wasiofahamika kuvamia chumba cha kuhesabia kura na kutokamea masanduku yote yaliyohesabiwa kura na yasiyohesabiwa kura...
Asante sana Mikael, hizi ni habari njema sana. Hongereni CHADEMA, hongera wana-Kisarawe.
 
attachment.php
 
Tunashukuru kwa taarifa ingawa huu ni ushindi kiduchu sana

Angalia matokeo kwa jicho la kisayansi (analytical) pia usitafute asilimia itakudanganya.

Angalia tarakimu kwani ina maana CDM wamependwa na wananchi wa eneo tajwa idadi ya 148 kwa mara ya kwanza kwa jinsi ninavyoijua kisarawe (CCM na CUF ndiyo vilivyokua na nguvu) na/au CCM imekataliwa na wananchi wa eneo tajwa idadi ya 148.

Hapo waweza jifunza kuwa si kiduchu. ila kwa asilimia CDM imeshinda kwa kupata % 51.2 wakati CCM imeshindwa kwa kupata % 48.8.
 
Wiki chacha zilizopita nilianzisha uzi hapa JF wa kuahirishwa kwa uchaguzi wa kijiji cha Mwanzo Mgumu, kata ya Msimbu wilayani kisarawe Mkoa wa Pwani ( Nyumbani kwa Baba Riz 1) kutokana na 'mabaunsa' wasiofahamika kuvamia chumba cha kuhesabia kura na kutokamea masanduku yote yaliyohesabiwa kura na yasiyohesabiwa kura...

Naona CD ya ccm ya Ukabila imepotea, ya Ukanda imepoteza wateja na sasa ya udini nayo imeanza kuchuja (Mwanzo mgumu Msimbu wakristo 5%).. Je, ni CD gani sasa itazinduliwa na ccm? ya Chama cha vurugu? Kazi kwao. Mimi sipo.

Aweda,

Thanks for this vital information. Bravo to CHADEMA.

This is a very strong message to our President, His excellency Jakaya Mrisho Kiwete that Tanzanians now need changes at any cost!! That the M4C is now inevitable!

Wiki chacha zilizopita nilianzisha uzi hapa JF wa kuahirishwa kwa uchaguzi wa kijiji cha Mwanzo Mgumu, kata ya Msimbu wilayani kisarawe Mkoa wa Pwani ( Nyumbani kwa Baba Riz 1) kutokana na 'mabaunsa' wasiofahamika kuvamia chumba cha kuhesabia kura na kutokamea masanduku yote yaliyohesabiwa kura na yasiyohesabiwa kura. Vile vile nikasema kuwa wakati huo Chadema walikuwa na zaidi ya kura 100 zilizohesabiwa huku CCM ikiwa na kura zaidi ya 20. Nikasema kuwa Uongozi wa wilaya haukuweza kumchukulia hatua mtu yo yote pamoja na wananchi kuwataja wahusika siku chache baada ya tukio hilo. Nikawapa Changamoto waandishi wa habari watupe undani wa habari ile na kuziweka magazetini.
Habari ile ilileta ubishi mkubwa sana hapa JF wengine wakisema Aweda anafanya proganda za Chadema dhidi ya CCM.
Hata hivyo, leo naomba kuleta taarifa rasmi kwamba Chadema wameshinda uchaguzi huo uliorudiwa na kufanikiwa kuitwaa serikali ya kijiji kwa mara ya kwanza ktk wilaya ya Kisarawe (mkoa wa pwani, Ngome ya Baba Riz 1, to the best of my knowledge). Huu ni ushidni wa nguvu ya umma kwa sababu serikali ilifanya juhudi kubwa kuwatisha wananchi ili wabadilishe maamuzi yao kumchagua mtu wasiyemtaka, lakini wananchi waligoma kufanya hivyo, uongozi wa wilaya ukafyata mkia na kukubaliana na matakwa ya wananchi bila ridhaa yao.
Uchaguzi ulifanyika tarehe 10 mwezi huu
Kura zilizopatikana baada ya nguvu kubwa kutumika kuwashawishi na kuwashawishi wananchi wabadilike ni kama ifuatavyo;
Chadema - Saidi Selemani Mulugendi 148
CCM - Jabiri Nasoro Kibiriti 141
zilizoharibika 13.
Waliokuwa wanasema kuwa nafanya propaganda dhidi ya CCM sasa kubalini kwamba nilikuwa na sema kweli.

Naona CD ya ccm ya Ukabila imepotea, ya Ukanda imepoteza wateja na sasa ya udini nayo imeanza kuchuja (Mwanzo mgumu Msimbu wakristo 5%).. Je, ni CD gani sasa itazinduliwa na ccm? ya Chama cha vurugu? Kazi kwao. Mimi sipo.

kamanda Aweda asante (naas loowaale), hii ni habari njema sana.
Nguvu ya umma mpaka kwa Baba Mwanaasha wametikisa!
 
Back
Top Bottom