Sakata la uteuzi wa majaji Z'bar-mtihani wa kwanza kwa Dr. Shein

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,737
405
Rais wa Zanzibar Dr. Mohamed Shein amekumbana na mtihani wa kwanza kwenye uongozi wake pale uteuzi wa majaji watatu kati ya wanne wa mahakama kuu ya zanzibar ulipopingwa na chama cha mawakili Zanzibar kwa sababu ya udhaifu wa utendaji kazi wao, Chama hicho kimehoji pia uhalali wa jaji mkuu wa zanzibar kuendelea kuwepo madarakani wakati umri wake wa kustaafu kwa mujibu wa sheria ulishafika.

Jisomee mwenyewe waraka ulioambatanishwa hapa ikiwa ni barua rasmi kwenda kwa Rais Shein.
 

Attachments

  • ZLS PETITION TO HON.DR.SHEIN.pdf
    1.8 MB · Views: 99
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom