Sakata la Serikali na Madaktari limeishia wapi?

Bi. Kiroboto

Member
Dec 22, 2011
36
6
Wakuu naomba kutapat updates, hivi mgogoro wa serikali na MAT umeishia wapi?
Nakumbuka Dr. Nkya alitaoa tamko kwa niaba ya serikali na madaktari nao wakaja na madai yao(mengine mapya), nikasikia pia kwamba Waziri amekacha kukutana na MAT.

Kwa kuwa najua jf ni kila kitu, natarajia watu walioko karibu na wahusika wa sakata hili watakuja kutupatia updates humu.
 
Back
Top Bottom