Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Heshima Mbele wana Bodi,

Kwa tarifa ambazo nilizipa tangu last week na jana zilitoka katika Gazeti la MWanahalisi,ni kwamba yule Kijana Mtoto wa Rais ,Ndugu Ridhwani amekuwa akiendesha kampeni za kichini chini ili rafiki yake amabye anaitwa Benno Malisa achukue Uenyekiti wa UVCCM taifa,na vikao vya kampeni zao vimekuwa vikifanyika pale Rose Garden,

Suala la Benno ambaye ni Mjumbe wa NEC kupitia Vijana kugombea uenyekiti wa UVCCM sio jambo baya na ni jema kwa sababu ni haki ytake,ila tatizo hili la kuhusika na mtoto wa Rais Kugombea ndio linaanazx akuleta picha mbaya.Kwanini wameeza kampeni mapema sana,Je wanatoa wapi pesa za Kampeni??sababu Benoo ni mwajiliwa wa Chama cha Mapinduzi.Tukilfumbia mamcho sula hili ndio mambo ya kagoda yanapoanzia,

Naomba wanabodi kuanzia hivi sasa tuanze kufuatilia vikao vyao na kujua wapi wanatoa pesa na wametumwa na nani.

Pia naomba tuwajadili kwa kina wale wote ambao wameonesha nia ya kugombea uongozi wa Uenyekiti UVCCM,nimeanisha majina hapa sabbu nimepewa majina hayo ndio wanaojipanga kwuania uongozi huo

1.Benno Malisa
2.Jerry Slaa
3.Nape Mnauye
4.Zamaradi kawawa
5.Mussa Mnyeti

Gembe:

Haki za kiraia zipo katika kushiriki katika mambo ya kisiasa, kupiga kura na vilevile kumpigia kampeni unayempenda.

Mtu haborongi katika kutumia haki za kiraia.
 
JERRY SLAA ni pandikizi la Chadema na ni fisadi anafanya biashara ambazo si halali. siku wakijua CCM itakuwa aibu kubwa. ni bomu kubwa.
 
Gembe:

Haki za kiraia zipo katika kushiriki katika mambo ya kisiasa, kupiga kura na vilevile kumpigia kampeni unayempenda.

Mtu haborongi katika kutumia haki za kiraia.

Ndg zangu wana Jf kwanza ningependa kuonyesha msimamo wangu juu ya wagombea hao waliotajwa,pia napenda kuwatakia heri ya pasaka na kumkaribisha ndugu yangu FISADI MTOTO ambae kwa muda hatukumuona hapa.

Narejea ktk hoja.
Ndg yetu Ridhwani si vibaya kwa yeye kumuunga mkono rafiki yake kwa huo ni uhuru wake wa kikatiba kuchagua mtu anaedhani kua anafaaa.

Tatizo langu ni huyu BENO ambae kama mwandishi alivojenga hoja yake ktk mwanahalisi kua huyu bwana watoto wa vigogo wapo nyuma yake na kadi yake ya UVCCM haina miaka mitano nilifanya uchunguzi pale abiani na kuongea na katibu wa tawi aliempa kadi inasemekana ilapewa kadi miaka miwili iliyopita ila alirudisha nyuma mwaka wa kuchukua kadi kwa msaada wa katibu wa vijana wilaya ya kinondoni ambae kwa sas ni katibu wa mkoa wa Tanga Mr Mwita.HAPO NAONA TATIZO LA MAADILI

Pili huyu bwana amehusishwa na tukio chafu na la aibu pale mileenium Tower alipokutwa akifanya ngono usiku saa tano ktk choo cha wanawake yeye na MNEC mwenzie anaetwa Mzindakaya kuna jamaa yupo BOT anazopicha za tukio hilo la aibu likionyesha huyu bwana akiwa anazongwa na Mlinzi.HAPA KUNA TATIZO LA MAADILI

Tatu, huyu bwana akiwa amelewa ktk bar ya VIJANA SOCIAL HALL aliingia ktk zogo baada ya kukutwa chooni akiwa anataka kumbaka mcheza show wa saida karoli mwaka jana wakati huo akiwa mwanasheria wa uvccm tukio hili lilitokea akiwapo Mr Amos makalla wakati huo akiwa naibu katibu mkuu na kaimu katibu mkuu wa Uvccm.HAPA TATIZO NI MAADILI.

Nne huyu bwana October mwakajana aliingia tena ktk sokomoko na changu doa pale BREAKPOINT around saa Tano usiku baada ya kushindwa kulipa malipo ya huduma ya ngono kufatana na makubaliano ilibidi aibu hiyo ifutwe na Bwana anaitwa edward kessy aliekua anafanya kazi akiba commercial bank.

Haya ni matukio ambayo yananifanya nisite kuhusu huyu bwana mbali na hayo najiuliza kama alikua akimsaidia mitihani rafiki yake Ridhwan hapa inaonyesha pia anamapingufu ya maadili na hili naliamini kwani huyu bwana Rdhwani amefeli masomo yake huko hull mnaweza kupata taarifa kwa kuangali kitabu/list ya graduate wa chuo hicho mwaka huu.

BI ZAINAB KAWAWA.

Huyu binti ni mmoja kati ya mabinti ambao mwanzo niliamini ni msafi ila matukio mawili yamenifanya nistuke moja ni tukio la yeye kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na mbunge wa kigoma mjini Mh Peter Selukamba, pia wakati wa NEC kua na uhusiano na mzee MKONO ambae ndie finacier mkuu wake ambae alimkodishia NDEGE ndogo kufanya kampane LINDI na MTWARA na Pemba hapa nimestuka kidogo swala la maadili limenifanya nione huyu nae hatotutumikia vijana.

JERRY SLAA.
Huyu kijana napenda ktutofautiana kidogo ni mchangiaji aliesema kua anfaa tatizo kubwa la huyu bwan ni tamaa tunakumbuka wizi alofanya tulipokua chuo hapo mlimani akiwa kiongozi lakini ukware wake amevunja ndoa ya DIWANI mwenzie wa viti maalum ambae amekua na uhusiano wa kimapenzi na huyu mama ambae leo ametengana na mume wake,pia hili pia ni jambo baya kabisa kufanywa na kiongozi kijana.

Sitataka kumjadili sanda,anafanhamika kua kwanza umri,na uwezo wake upsteers ni mdogo,HUSSEIN huyu jamaa simfahamu ila nasikia anaotaka mkoa wa TBR na taarifa za juu juu ni kua vigogo wa mkoa wa tbr hawamtaki,nafanya uchunguzi juu ya huyu bwana tawapa taarifa,Violet Mzindakaya huyu tatizo ni ulevi na uadilifu.

Ndg zangu wana JF huu ni uchunguzi wangu nitaendelea kuwaletea DATA za hawa wagombea.

Nikirejea kwa Ridhwani tatizo ni kua RDHWAN ni neno la kiarabu lenye maana mtu mwenye upungufu wa kumbukumbu lenye kutikana na neno RAADHUN sasa haya anayoyafanya sishangai kwani jina linanionyesha aina ya mtu.

Wana Jf swala la uvccm ni la msingi tulijadili kwani hapa tutapata viongozi inabidi tujue hawa viongozi.

ASANTENI TUWAKILISHE
 
Hadi uchaguzi huo uishe tutasikia na kusoma mengi! Kumbe nilipokuwa nazishangaa zile kashfa walizotupiana wazee wao wakati wa uchaguzi wa rais nilikuwa nashangaa bure! Ndiyo malezi yao hawa vijana wanarithi toka kwa wazee wao! Like begets like!
 
Mpaka hapa nimechoka sana na ukizingatia kazi ambazo leo nimeshafanya .Naomba kuzima comp na kulala kwanza.
 
Fisadi Mtoto, kwanza hongera kwa hoja zako.But nifafanulie mambo machache ili nami nichangie mjadala huu,by the way who is Nape??????? maana katika mazungumzo yako wamponda sana huyu kijana.Na hapo umemwita aka Achabe kulikoni?
 
ndugu mtoto wa mkulima,mbona umetupa tathimini nusu? kuna huyu kijana Nape Nnauye anasemwa sana,yeye vipi?mimi nafuatilia but nipeni nondo wenye nazo.Nimekuta mahali anatetewa na watu wazito nikastuka....................
 
Kwanza tuelexe hao wazito walikuwa wanamteteaje ili tulinganishe ya humu tafadhali .
 
Ndg zangu wana Jf kwanza ningependa kuonyesha msimamo wangu juu ya wagombea hao waliotajwa,pia napenda kuwatakia heri ya pasaka na kumkaribisha ndugu yangu FISADI MTOTO ambae kwa muda hatukumuona hapa.

Narejea ktk hoja.
Ndg yetu Ridhwani si vibaya kwa yeye kumuunga mkono rafiki yake kwa huo ni uhuru wake wa kikatiba kuchagua mtu anaedhani kua anafaaa.

Tatizo langu ni huyu BENO ambae kama mwandishi alivojenga hoja yake ktk mwanahalisi kua huyu bwana watoto wa vigogo wapo nyuma yake na kadi yake ya UVCCM haina miaka mitano nilifanya uchunguzi pale abiani na kuongea na katibu wa tawi aliempa kadi inasemekana ilapewa kadi miaka miwili iliyopita ila alirudisha nyuma mwaka wa kuchukua kadi kwa msaada wa katibu wa vijana wilaya ya kinondoni ambae kwa sas ni katibu wa mkoa wa Tanga Mr Mwita.HAPO NAONA TATIZO LA MAADILI

Pili huyu bwana amehusishwa na tukio chafu na la aibu pale mileenium Tower alipokutwa akifanya ngono usiku saa tano ktk choo cha wanawake yeye na MNEC mwenzie anaetwa Mzindakaya kuna jamaa yupo BOT anazopicha za tukio hilo la aibu likionyesha huyu bwana akiwa anazongwa na Mlinzi.HAPA KUNA TATIZO LA MAADILI

Tatu, huyu bwana akiwa amelewa ktk bar ya VIJANA SOCIAL HALL aliingia ktk zogo baada ya kukutwa chooni akiwa anataka kumbaka mcheza show wa saida karoli mwaka jana wakati huo akiwa mwanasheria wa uvccm tukio hili lilitokea akiwapo Mr Amos makalla wakati huo akiwa naibu katibu mkuu na kaimu katibu mkuu wa Uvccm.HAPA TATIZO NI MAADILI.

Nne huyu bwana October mwakajana aliingia tena ktk sokomoko na changu doa pale BREAKPOINT around saa Tano usiku baada ya kushindwa kulipa malipo ya huduma ya ngono kufatana na makubaliano ilibidi aibu hiyo ifutwe na Bwana anaitwa edward kessy aliekua anafanya kazi akiba commercial bank.

Haya ni matukio ambayo yananifanya nisite kuhusu huyu bwana mbali na hayo najiuliza kama alikua akimsaidia mitihani rafiki yake Ridhwan hapa inaonyesha pia anamapingufu ya maadili na hili naliamini kwani huyu bwana Rdhwani amefeli masomo yake huko hull mnaweza kupata taarifa kwa kuangali kitabu/list ya graduate wa chuo hicho mwaka huu.

BI ZAINAB KAWAWA.

Huyu binti ni mmoja kati ya mabinti ambao mwanzo niliamini ni msafi ila matukio mawili yamenifanya nistuke moja ni tukio la yeye kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na mbunge wa kigoma mjini Mh Peter Selukamba, pia wakati wa NEC kua na uhusiano na mzee MKONO ambae ndie finacier mkuu wake ambae alimkodishia NDEGE ndogo kufanya kampane LINDI na MTWARA na Pemba hapa nimestuka kidogo swala la maadili limenifanya nione huyu nae hatotutumikia vijana.

JERRY SLAA.
Huyu kijana napenda ktutofautiana kidogo ni mchangiaji aliesema kua anfaa tatizo kubwa la huyu bwan ni tamaa tunakumbuka wizi alofanya tulipokua chuo hapo mlimani akiwa kiongozi lakini ukware wake amevunja ndoa ya DIWANI mwenzie wa viti maalum ambae amekua na uhusiano wa kimapenzi na huyu mama ambae leo ametengana na mume wake,pia hili pia ni jambo baya kabisa kufanywa na kiongozi kijana.

Sitataka kumjadili sanda,anafanhamika kua kwanza umri,na uwezo wake upsteers ni mdogo,HUSSEIN huyu jamaa simfahamu ila nasikia anaotaka mkoa wa TBR na taarifa za juu juu ni kua vigogo wa mkoa wa tbr hawamtaki,nafanya uchunguzi juu ya huyu bwana tawapa taarifa,Violet Mzindakaya huyu tatizo ni ulevi na uadilifu.

Ndg zangu wana JF huu ni uchunguzi wangu nitaendelea kuwaletea DATA za hawa wagombea.

Nikirejea kwa Ridhwani tatizo ni kua RDHWAN ni neno la kiarabu lenye maana mtu mwenye upungufu wa kumbukumbu lenye kutikana na neno RAADHUN sasa haya anayoyafanya sishangai kwani jina linanionyesha aina ya mtu.

Wana Jf swala la uvccm ni la msingi tulijadili kwani hapa tutapata viongozi inabidi tujue hawa viongozi.

ASANTENI TUWAKILISHE

ndugu yetu mtoto wa mkulima ,karibu jamvini.....inaonekana kwa maoni yako wagombea wote mwaka huu ni bomu...sijakusikia ukimuongelea NAPELELE..ehee na huyo vipi huko india alipokuwa na pale kivukoni alikofanyia diploma.....
 
Ili kutovuka mipaka ya kuwajadili wahusika, kuna mambo ambayo nadhani watu wanakwenda deep sana. Swala la mtoto kuwa ni wa nje ya ndoa si kosa lake, mwenye kosa ni baba aliyemzaa vichochoroni. Hakuna mtoto ambaye anaomba azaliwe nje ya ndoa ama ndani ya ndoa.

Kosa la Nape liko wapi? Kama mama yake mzazi alimuonyesha kwamba Mzee Nnauye ndo baba yake yeye mlitegemea afanye nini?

Kitanda huwa hakizai haramu na kabla ya teknolojia ya DNA kuna akina baba wengi sana wamebambikiwa watoto na mpaka leo hii hawajui kama kweli hao ni watoto wao. Kwa hiyo swala la kwamba Nape ni mtoto wa Marehemu Mzee Nnauye au la, sioni kama ni hoja. Hoja ni kuangalia uwezo wa hao watu, tabia zao wenyewe, maadili yao na mambo mengine ambayo ni muhimu kwa kiongozi kuwa nayo.

Kama mtu anaonekana zipu yake iko wazi 24/7, unategemea nini ukimpa madaraka/uongozi? Maana hapo sasa ndipo tunakaribisha ufisadi wa ngono tena wa wazi kabisa.

Kwa wenye maslahi na uchaguzi huu wanatakiwa kuweka vigezo vya watu wa kuwachagua. Maana hapa kinachofanyika ni uchambuzi tu, lakini wenye uwezo wa kupiga kura sidhani kama wako hapa na kama wapo basi ni wachache na si ajabu walishapewa kilicho chao wanasubiri kwenda kuuza kura yao kwa ujira wa post kubwa zaidi ama maslahi ya juu zaidi.

Kazi kwenu wana UVCCM na CCM kwa ujumla.
 
Hivi sasa hata uchaguzi wa kata kupitia Umoja wa Vijana bado hauja anza !hawa wanaowania kugombewa uenyekiti Taifa wameshanza kuchafuana wao kwa wao na wapambe wao kazi ipo!!maana hata wapiga kura wao bado hawaja wajua mpaka uchaguzi wa ngazi ya mkoa ukamilike ndipo watawajua wapiga kira wao!sasa hizi vurugu zote za kuchafuana za nini?
 
Wakuu naona mjadala umenoga, lakini naomba kurekebisha yafuatayo,

1. Siamini kwamba Ridhiwani ana ubavu wa kumuweka mtu anyemtaka kuwa mwenyekiti wa vijana, kwa sababu kama hii hoja ni ya kweli basi itakuwa anafanya hivyo kwa kutumia urais wa baba yake, now we all know kwamba baba mwenyewe angekuwa na huo ubavu Msekwa asingekuwa makamu wa CCM, Lowassa asingejiuzulu, Nchimbi angekuwa katibu wa CCM, Rostam angekuwa mweka hazina wa CCM na waziri wa fedha, Mama Meghji angekuwa makamu wa rais, na uongozi wa CCM kungejaa mtandao, kwa hiyo siamini kuwa Ridhiwani ana ubavu wa kumuweka mtu kwenye nafasi yoyote kubwa ndani ya CCM, maana ninaaamini kuwa hata yeye atakuwa anautaka huo uenyekiti lakini kwa maoni yangu hana huoo ubavu.

2. Maneno yanayorushwa hapa kuhusu Nape, kwa kweli kwanza siamini ninapoyaona tena yakisemwwa na some very prominent people not only hapa JF, bali hata kwa taifa. Marehemu Mnauye amefariki akiwa na nothing absolutely nothing, kwamba anao watoto 15 that is a lie of the century, Mnauye alikuwa na nyumba ndogo na kubwa kitu ambacho sidhani kama ni cha ajabu katika mila zetu bongo, kwenye nyumba kubwa kuna watoto watatu, wa kike wawili na wakiume mmoja Samora, ambaye yuko US wengine wako bongo na mmoja ameolewa na binamu yangu ndio maana ninawajua vizuri wote, Nape ni mtoto wa nyumba ndogo, na ni mara yangu ya kwanza kusikia hapa kwamba eti kuna utata wa Nape na utoto wake na Mnauye, wakati ni very clear kwa tunaojua kuwa ni marehemu Mnauye ndiye aliyewaingiza Nape na Makamba kwenye national politics. Sasa Nape ni mjumbe wa NEC mwenye ofisi pale Lummumba na mwenye majukumu mazito sana ndani ya CCM, hebu tumuongelee kwa heshima kidogo kwa sababu nafasi aliyonayo kitaifa sio ndogo, especially sasa hivi anapoelekea Butiama kwenye mkutano wa kumua mambo muhimu sana kwa taifa letu.

3. Marehemu Nauye, hakuacha kitu chochote cha urithi, ninasema nothing, yeye ni mmoja wa viongozi wachache walioamini sana maneno ya Mwalimu, aliishia kuwa na apartment moja ndogo sana pale Upanga, ambayo mke wake mkubwa anaishi mpaka leo kwa hiyo alipofariki hakukuwa na urithi aliouacha zaidi ya hiyo apartment basi.

4. Rais wetu anaweza kuwa ana wake zaidi ya mmoja, hivi kweli nayo hiyo inapaswa kuwa ishu ya taifa? Naaamini kwamna viongozi wetu wengi kuanzia upinzani mpaka CCM wana wake na watoto zaidi ya wake zao wanaofahamika, hivi hiii nayo inatakiwa kuwa kipimo cha uongozi bongo? Hivi kweli hii ikifuatiliwa kwa undani kuna kiongozi yoyote wa upinzani na CCM atakayebaki? I mean unless kuna something sielewi hapa kwenye hiii topic kwa sababu kwa ufahamu wangu kama ni viongozi na wanawake wasio wake zao na watoto sidhani kama kuna hata mmoja anayeweza kusimama kwenye pande zote mbili, au anayeweza kumtukana mwenziwe wa upande wa pili, sasa nashangaa what is the buzz for?, labda sana sana dogo Mnyika tu ndiye sijawahi kumsikia kwenye viwanja, wakuu hebu tu-stick na ishus kama alivyosema mtoaji wa hii mada.

Back again on this topic, siamini kuwa Ridhiwani ana ubavu wa kumuweka mtu kwenye uongozi wa UVCCM, huenda kuna wanaobabaika na urais wa baba yake, lakini wale wanaojua zaidi na wenye ubavu sidhani kama he is even a threat kwao.

Ahsante Wakuu
 
HUWEZI KUMZUIA MTU WA NCHIMBI KUSHINDA NDANI YA UVCCM,KUMBUKA NCHIMBI ANAIJUA CCM NA AMEKALIA KITI KWA MIAKA KUMI,MAKATIBU WOTE WA MIKOA WAMETEULIWA YEYE AKIWA MADARAKANI HIVYO AMEWATEUA YEYE,MAKATIBU WA WILAYA NUSU KAWATEUA YEYE,MFATE MGOMBEA YEYOTE MUULIZE KAMA ANGALPENDW KUPINGWA NA NCHIMBI ATAKUPA JIBU,KUMUULIZE MUSA NTIMIZI AU OMARY KIMBAU ALIPOWAPINGA UENYEKITI WA DAR BAADA YA KUANZA KUSHINDANIA PESA NINI KILIWAKUTA..NDIO MAANA NIKO TAYARI KUWEKA DAU ATA LA MILIONI MIA MOJA KUWA NAPE HAWEZI KUSHINDA KAMWE.

Fisadi mtoto,unaonekana kutawaliwa na jazba zaidi ya hoja!!!!Hata zingekuwa milioni mia nane,za kifisadi hatuzitaki!! Lakini inaonekana uko mbalisana na ukweli maana hakuna mgombea sasa nayetaka kuungwa mkono na Nchimbi maana hatapita asilani.Mifano ni mingi lakini hata Uchaguzi wa NEC 2007 umedhihirsha hili baada ya maswahiba wa Nchimbi kuanguka NEC na hata yeye mwenyewe kuogopa kugombea kwani asingepita hakika.Lakini matokeo yake wale aliokuwa akiwapinga ndo wakashinda tena kwa kishindo akiwemo kijana Nape pamoja na kuwa alikuwa shule India,nasikia kapiga kampeni ya mwezi mmoja tena yakimasikini ukilinganisha na wengi CCM hasa vijana ka Beno but kashinda,sasa sijui msingi wa hoja yako!!!!!!
 
Kwanza tuelexe hao wazito walikuwa wanamteteaje ili tulinganishe ya humu tafadhali .

Mkuu wale wazito sitasema yote lakini hoja zao ni hizi kwa kifupi juu ya kijana Nape.
1.Anamsimamo usiyoyumbishwa na pesa japo nimasikini kulinganisha na watoto wengi wa wakubwa,na hii ni kutokana na umasikini wa babaake Mzee Nnauye.Na wakatoa mfano wa jinsi alivyoupinga MTANDAO na kukataa pesa zao kwa kuamini mtandao umejaa mafisadi.

2.Wakadai pia kuwa anaclear vision juu ya anachokitaka UVCCM ukilinganisha na wanaotajwa kutaka kugombea.Wakitolea mfano wa jinsi alivyokulia chipukizi,na misimamo yake juu ya CHIPUKIZI,UCHUMI,UTUMISHI nk vya UVCCM.

3.Si mnafiki,wakatoa mfano kuna wakati alimwambia JK hadharani kuwa hamuungi mkono coz of Lowasa na Rostam akiamini ni mafisadi jambo ambalo limekuja kudhihirika baadae.

4.Mzuri wa kampeni na kusoma alama za nyakati,wakitoa mfano alivyoweza kushinda NEC 2007 na kwamba ali mentain kura alizopata 2002,pamoja na vita kubwa aliyopigwa na wanamtandao Masilahi wakiongozwa na Nchimbi,Lowasa na Rostam....(ilikwenda mbali kwa kusema alikuwa kwenye black list ya wasiotakiwa na mtandao tena jina lake likiwa la nne baada ya Sumaye,Gachuma,Anna Kilango,Nape Moses Nnauye) nk
5.Ndiye anayetajwa pekeake mwenye uzoefu kuliko wote kwani ni member wa NEC sasa kwa awamu ya pili na alishawahi kugombea kura hazikutosha na bado wanadai anahoja ambazo Nchimbi hakuzisahihisha hata baada ya kumshinda.
Nadhani tujadili,japo yapo mengi waliyoyasema
 
Nashukuru sana kwa wote wqaliochangia hoja yangu inawezakana sikueleweka vizuri naombna wote walichangia wasome thread yangu ya kwanza, nilichosema ni ile hali ya mtu kutamba,kusema kuwa lolote liwe, mimi kama fulani nasema fulani ndo atakuwa mkiti, sina ugomvi na mtu kugombea au kumpiga debe mtu amtakaye! lakini pia kwa wachache walioshauri kuwa wale wa CCM waanzishe forum yao wasisahau kuwa inawezekana ninaeandika ni mtanzania, mwenye haki zote kama mtanzania labda mod atoe options za mtu kuwa mwa Jambo Forum!

KWA WALE NDUGU ZANGU WENYE Ethics za Uandishi watakubaliana nami kuwa mojawapo ya habari zinazopata uzito kwa sasa ni chaguzi za CCM na jumuiya zake vinginevyo naweza kuwa naongea na wrong persons kama ni hivyo nitalazimika kuomba msamaha kwa jambo hilo

M-bongo
 
nashukuru sana kwa wote wqaliochangia hoja yangu inawezakana sikueleweka vizuri naombna wote walichangia wasome thread yangu ya kwanza, nilichosema ni ile hali ya mtu kutamba,kusema kuwa lolote liwe, mimi kama fulani nasema fulani ndo atakuwa mkiti, sina ugomvi na mtu kugombea au kumpiga debe mtu amtakaye! Lakini pia kwa wachache walioshauri kuwa wale wa ccm waanzishe forum yao wasisahau kuwa inawezekana ninaeandika ni mtanzania, mwenye haki zote kama mtanzania labda mod atoe options za mtu kuwa mwa jambo forum!

Kwa wale ndugu zangu wenye ethics za uandishi watakubaliana nami kuwa mojawapo ya habari zinazopata uzito kwa sasa ni chaguzi za ccm na jumuiya zake vinginevyo naweza kuwa naongea na wrong persons kama ni hivyo nitalazimika kuomba msamaha kwa jambo hilo

m-bongo

wewe na wenzako mnatambua nape nnauye alikuwa ni right choice yenu lakini agenda haikuwa uvccm for better tanzania mkamtosa kwa madai eti wakuu wanampigania mkampa aliyekuwa na agenda yenu 2005.huo ndio ukweli ndugu yangu,ni vema ukaupenda ukweli kuliko unafiki. Ridhiwan ana haki ya kumsaidia benno,na wewe unaweza kumsaidia kawawa ,mimi nikamsaidia silaa.

Ni haki yetu kikatiba tatizo ni huu utamaduni wa kuwalisha watu maneno ya upotoshaji,ridhiwan siyo mjeuri wa kutamka hayo mnayoyasema ni vema tukubaliane kuwa siasa zetu sasa na hata kabla zimetegemea sana wakubwa kuzalisha chipukizi wa siasa zetu,nchimbi alibebwa na kambi ya jk na tunafahamu kaka yangu guninita ni mmoja wa wahanga wa uvccm baada ya mwalimu kumzima kikwete 1995,hapo ndipo nguvu halisi ya uvccm ilipobainika,mosses nnauye ndiye aliyekuwa nyuma ya ben kwa mwalimu hivyo nape kuandamwa ilikuwa na kambi ya jk ilikuwa sahihi na hata sasa hatakaa salama kwani guninita amerudi pengine makongoro naye ampiganie;lililo bora hapa ni kwamba wakubwa wamewaacha makada hawa waendelee kujipambanua, vema na wajibu kwao kujipanga kwa faida ya chama.

Sina hakika nani yuko na nani ktk nchi ila mwisho wa siku tuchague mwana uvccm bora.
 
Mpaka sasa Jerry Silaa ndiye pekee ambaye ameenda hewani na kukiri bayana kuwa ameombwa na yeye amekubali.

Kuna magazeti ambayo uki disclose plan zako zinazoihusu jamii yako huishia kushindwa na kuandamwa,Silaa ametumia gazeti la Mtanzania ambalo lilitumika na Mzee Sumaye ku disclose agenda yake rasmi ya urais 2005,kilichofuatia mungu anajua na huyu mdogo wangu naye tena kapita humo sidhani kama atatoka salama.

Nnape anasemwa humu kuwa amevuka 35 sasa inakuwaje yeye naye anakuwa mshindani au mtoa habari ndio wale wapika fitina.

This time mdahalo kwao una umuhimu let them compete ktk jukwaa na tuone uwezo wao wa kimaono,hoja na uwasilishaji kwa hadhira.

Kila la heri wadogo zangu, mie ndio 36 hiyo inakaribia.Tuko tayari kuwa washirika ktk harakati hizi,mungu awabariki sana nyote.
 
Mpaka sasa Jerry Silaa ndiye pekee ambaye ameenda hewani na kukiri bayana kuwa ameombwa na yeye amekubali.

Kuna magazeti ambayo uki disclose plan zako zinazoihusu jamii yako huishia kushindwa na kuandamwa,Silaa ametumia gazeti la Mtanzania daima ambalo lilitumika na Mzee Sumaye ku disclose agenda yake rasmi ya urais 2005,kilichofuatia mungu anajua na huyu mdogo wangu naye tena kapita humo sidhani kama atatoka salama, maana washaanza kumtandika.

Nnape anasemwa humu kuwa amevuka 35 sasa inakuwaje yeye naye anakuwa mshindani au mtoa habari ndio wale wapika fitina,hatari sana kijiji hiki cha Kambarage.

Siasa za dunia yetu ni ngumu sana wanasiasa huwa mara zote wanataka kupinda taratibu walizowaka hili waongoze.Museven anabadili mkatiba awe rais wa uganda tena na tena.Huyo Nape naye amezaliwa 26 november 1977.Hivi inabidi kuwa na degree ya hesabu kujua kuwa wakati wa uchaguzi ujao mwezi dec 2008 atakuwa amevuka umri uliowekwa kwa kanuni ya uvccm?yani mgombea awe na miaka chini ya 30.Hio ni dalili ya kuwa ata yeye Napeana kaugonjwa ka tamaa ya madaraka.
 
Back
Top Bottom