Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 147
..Wachambuzi wa mambo naomba munisaidie swala hili;
Hivi sakata la mv skagit wahusika si wameshafikishwa mahakamani?!. sasa mbona bado linaendelea kuzungumziwa bungeni na Kwingineko?!!