Sakata la mgomo wa madaktari : Mnyika jiuzulu upesi umetuaibisha na kutufedhesha

Sasa kama valeur imeisha si bora ungeagiza konyagi tu kuliko kuleta huu utumbo wa nzi hapa1
 
Tulisoma tamko la CHADEMA kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watanzania.

Leo madaktari wote waliamini Chadema na makamanda wengine watapata mdomo kupitia Mh Mnyika kama Mbunge na msemaji wa chadema hasa baada article nzuri aliotoa kupitia Vyombo vya habari.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.

Kama Chadema ni wazuri wa kuandika, lkn kivitendo kwa madokta ni kiini macho
Si bora tu ungekaa kimya! Ona sasa ulivyojiaibisha kwa kuyafunua hayo m. a. k.a.l.i.o yako yalivyo makubwa tena ya mchina!
 
Leo madkitari wanasubiri Mnyika awasemee bungeni?si walikataa ushirikiano na CDM au chama chochote cha siasa?Mnyika angeeleza nini bunge wakati hana maelezo yanayojiridhisha?

ongea wewe rafiki yangu labda watakuelewa,na mnyika angeanzisha wangesema amechangia kushawishi mgomo,magamba hayana jema
 
Tulisoma tamko la CHADEMA kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watanzania.

Leo madaktari wote waliamini Chadema na makamanda wengine watapata mdomo kupitia Mh Mnyika kama Mbunge na msemaji wa chadema hasa baada article nzuri aliotoa kupitia Vyombo vya habari.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.

Kama Chadema ni wazuri wa kuandika, lkn kivitendo kwa madokta ni kiini macho

Acha kujidanganya...hao madaktari wamewagomea kabisa na kuwaomba CHADEMA kukaa mbali na ishu yao hivyo unaposema walitegemea kuongelewa nao ni matamanio yako lakini sio ya madaktari....
 
Tulisoma tamko la CHADEMA kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watanzania.

Leo madaktari wote waliamini Chadema na makamanda wengine watapata mdomo kupitia Mh Mnyika kama Mbunge na msemaji wa chadema hasa baada article nzuri aliotoa kupitia Vyombo vya habari.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.

Kama Chadema ni wazuri wa kuandika, lkn kivitendo kwa madokta ni kiini macho

............................................................... Kajipange upya mkuu ...........................................
 
Mnyika na Dr Ndungulile wametoa hoja leo ya kuomba bunge lijadili hoja ya mgomo wa madaktari kama hoja ya dharula.Mnyika alieleza vizuri sana umuhimu wa hoja yake.Naibu spika akaikataa kwa sababu haikuungwa mkono.Kwa maana hiyo kama ingeungwa mkono,basi bunge lingelazimika kujadili.Hapa kuna swali nimejiuliza sipati jibu.Ni kwa nini wabunge wote hawakuunga mkono hoja muhimu kama hii?HIivi kwa mujibu wa kanuni hoja hutakiwa iungwe mkono na wabunge angalau wangapi?
 
Jamani CDM ndo chama kinachotumainiwa sasa hivi na wananchi ,
Inabidi waende hatua mbele zaidi katika hii inshu , kuotolea maelezo tu hakutoshi ,
Kuomba hoja maalum tu na kukataliwa hakutosha wakati wananchi na wapenzi wa CDM
wanaendelea kupoteza maisha,
Wanashindwa nini kususia bunge hadi spika atakapokubali Serikali itoe taarifa
Haya ni maisha ya watanzania jamani na sio siasa
 
Tulisoma tamko la CHADEMA kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu yake bungeni na kumbana waziri mkuu ni wazi mnyika ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wasiojali maslahi ya watanzania.

Leo madaktari wote waliamini Chadema na makamanda wengine watapata mdomo kupitia Mh Mnyika kama Mbunge na msemaji wa chadema hasa baada article nzuri aliotoa kupitia Vyombo vya habari.
Mnyika yupo bizz na Hoja ya Richmond ambayo anaamini haitaleta tija kwa wananchi. hii italeta tija zaidi na mbio za urais wa CCM na sio madokta na wagonjwa.

Kama Chadema ni wazuri wa kuandika, lkn kivitendo kwa madokta ni kiini macho

Madokta walitaka wasipatiwe msaada wa kisiasa. chadema imeheshimu uamuzi huo.
 
Mbona Myika alianza vizuri, lakini hakuna mbunge aliyemuunga mkono. Ikawa technical knock out.
 
Jamaa nimegundua siyo kosa lake kapiga mkorogo wa bange,unga,mirungi,gongo na mataptap kibao.
 
Mleta nadhani ana stress za maisha na hajui namna ya kumaliza stress zake .Au ni mlevi na pombe haitoki hadi ale kitimoto ndiyo kuzimua kwake .Chuki binafsi hazina nafasi katika maisha haya siku hizi .Mnyika Mnyika Mnyika mbona wananchi wasimame na kuwapinga CCM ili waokoe maisha ya watu au Chadema pekee ndiyo wenye ndugu na Uchungu? Kwani ma CCM hayajafa kwenye hili sakata ?
 
Back
Top Bottom