Elections 2010 Sakata la mauaji ya Dereva wa CCM Maswa na hatima ya Shibuda

Mama yangu wee! tunakoelekea si kwema. Hali inatisha sana. Sikiliza thithiem watakavyotumia tukio hili kutaka kuilaumu chadema kwa umwagaji wa damu wakati wa kulaumiwa ni wao wenyewe.
 
Asante Pasco kwa Taarifa, nataka Kujua ni Kwa nini Shibuda amekuwa arredted?
 
Mashabiki wana matatizo sana! Hii yote ni ushabiki na ukweli ni kwamba ushabiki una madhara yake. Ni juzi tu kati ya mechi ya Simba na Yanga, wana Simba na baadhi ya viongozi wao walipokea kichapo kutka kwa mashabiki wa Yanga. Kama wewe ni shabiki wa Simba usiende kukaa jukwaa la Yanga wakati mtinange ni wa Simba na Yanga. Sasa hao waliowakuta wengine, kama hiyo version ya story ni kweli wameshuka kufanya nini kama si uchokozi? Lakini kwa vyovyote vile vita si vizuri na lazima vikemewe!
Ushabiki ni mbaya pia wiki iliyopita mnakumbuka yaliyotokea Italia na ile timu nyingine mashabiki yalipoyapa kipigo polisi.....
 
wahusika lazima wachukuliwe hatua kali. Huwezi kupoteza maisha ya mtu shauri ya siasa tu.

Tusianze kwenda ambako majirani zetu walishafikia.

Dalili zilionyesha mapema; hata kama mtu amefanya kosa kwanini waanze kumpiga, kwani wao kuchukua hatua wamegeuka polisi?

Wanasiasa wote lazima wakemee vurugu za aina yoyote maana hazina maana na zitaleta majanga yasiyo na maana.

provocation if well pleaded, and in suitable circumstances is a good defence
 
Ndugu naona na wewe uko kwenye kampeni jinsi ulivyo present habari yako imekaa kishabiki kwa kuchukuwa upande mmoja tu wa maoni yaani shibuda -- kwa kuwa umewahi kuendesha vipindi vya televisheni haswa vya kukalisha wagombea na wanasiasa mbalimbali nilidhani unauzoefu wa kuchukuwa habari na maoni pande zote mbili -- umechukuwa moja ukaja kuweka hapa



Agreed!!! This is TRASH in CAP!
 
tutaona mengi. Hii inathibitisha kuwa mtawala kazidiwa. Go chadema go!

you just think! Magari yalikutana, chadema wakasimama kuchimba dawa, sisiem wao hapohapo maeneo hayohayo na wakati huohuo kofia ikadondoka. Mara akashuka bila woga kuelekea sehemu waliko washabiki wa chadema ili aiokote. Ninadhani kuna utata kama hiyo kofia haikudondoshwa makusudi au la, na kama haikudondoshwa makusudi, je wale wa chadema waliokuwa wanachimba dawa wakiona counterpart ana advance kuelekea wao na gali lao lilipo katika mazingira ya kawaida hawakuhisi wanavamiwa? Au kuna jambo linalohitaji wajihami. Tukubali kutokubali kuwa kama storia ndio hiyo, je chadema walijua kuwa kofia ilikuwa imedondoka na hivyo ccm member alikuwa anaifuata. Kama hawakujua, then they were right to do wahat they thought by doing so they were defending. Hence self defence.
 
Kwa nini maeneo ambayo CCM inaonyesha kupoteza ushindi ndiyo yenye vurugu? mbona hatusikii Monduli,Igunga,Urambo na kwingineko ambako CCM inamatumaini ya kushinda? Kwa uwazi ni kuwa hawakubaliani na kushindwa ndio maana wana leta fujo.
 
ccm wamezidi ugomvi sasa wamepata joto ya jiwe, unyama na ushenzi wao utaiingiza nchi kwenye shimo, wao wanaona sifa.
ndo maana nasema ccm ni chama cha wafanya mizaha na waigizaji wa siasa, kifupi mkusanyiko wa watu wasio makini na waadilifu, ni kundi la mamluki na ving'ang'aniza vya madaraka.
 
Radhi siombi msimamo wangu ni huo aandike habari zake kwa umakini sio kwa ushabiki yeye ni mzoefu wa haswa televisheni anajua anachofanya


Ndo matatizo ya limbwata hayo!!! Huwezi hata .........
 
We have to pray for the Almighty God intervention..............atakayeiba kura shauri lake atawaambia nini watanzania?
 
Radhi siombi msimamo wangu ni huo aandike habari zake kwa umakini sio kwa ushabiki yeye ni mzoefu wa haswa televisheni anajua anachofanya
Hawa ccm ndio walivyo wanaposhindwa kwa hoja huwa wanakuwa na jazba na kuleta shari; damu ya watanzania wataimwaga wao na ili tufufuke ni lazima tufe na WATANZANIA tuko tayari!!
 
Hili ni lazima litolewe ufafanuzi wa kutosha. Nilikwisha andika na ninarudia tena kuwa CHADEMA wawe waangalifu na hujuma za kijasusi zinazofanywa na CCM dhidi yao.

Hii ni mipango ya kitaalam sana ya kijasusi ambapo wana CCM wanaotumwa kuanzisha vurugu hawajui kuwa wanatumwa kama mbuzi wa kafara. Wao wauawe, CCM ipate 'public sympathy' halafu wanachi waichukie CHADEMA na kuiona ni chama cha magwanda kinachoashiria vurugu na sasa zinathibitika.

Tangu shirika la kijasusi la nchi fulani kubwa lichukue tenda ya kusaidia JK aingie madarakani suala hili limeendelea kujitokeza na cha ajabu limetokea hata maeneo ambayo vurugu huwa si jambo la kawaida.

Hivi leo hii mimi nikute watu wako kwenye mkutano wa CCM halafu nipite katikati ya huo mkutano na mavazi ya CHADEMA au nikipepea bendera ya CHADEMA nakuwa natafuta kitu gani. Majasusi hawa wanajua kitu kinaitwa 'mob psychology'. Wanaelewa akilianzisha mmoja basi akili ya mtu mmoja inagawanyika na idadi ya mob yaani mfano 1/100,000. kisha 'fraction' hii ndio hufanya maamuzi, kupiga, kuvunja mbavu n.k.

Naona taratibu baada ya CCM kujua kwa uhakika kuwa wamepoteza uchaguzi huu, wanaanza kuleta mbinu za Burkina faso, Ivory Coast, Sierra Leone, Somalia na Sudan.

'Provoke them, let them seem dangerous to rule, destroy their public image, gain public sympathy'.

CCM hata mkiishiwa sera, tafadhali msimwage damu zetu na kusingizia CHADEMA. Hawa green guard na wengineo mlio nao wanayoyafanya ni sawa na suicide bombing.

Mfano kama green guard wangekuja kunivamia mimi, nisingekubali kupoteza maisha au afya yangu kwa kuwatazama tu, ningeweza kupiga mtu risasi ya kichwa, lakini mimi ndio ningeonekana muuaji.

Please please CCM huku mnakoenda sasa ni usengeni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Wakuu zangu,

Hivi hapo kwenye blue and red bold, kuna ukweli wa habari hizi? Unajua this week nimesikia hizi pia!! Nikapuuzia ukizingatia source iliyotoa!!!

Hawa jamaa wanatutaka nini?
 
Wakuu zangu,

Hivi hapo kwenye blue and red bold, kuna ukweli wa habari hizi? Unajua this week nimesikia hizi pia!! Nikapuuzia ukizingatia source iliyotoa!!!

Hawa jamaa wanatutaka nini?

Kuna tetesi kuwa Tanzania ina uranium ... habari ndiyo hiyo
 
Back
Top Bottom