Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

Hizo fujo hazibagui baadhi ya watu na kulenga kikundi, chama au maeneo ya serikali tu?

Wananchi wengi wanaandamana kwa kigezo cha kutolipwa madai yao ya korosho..

Baadhi wanatarget wafanyakazi wa serikali,ofisi,na wote wa aina hiyo.. Sema si unajua , msafara wa mamba na....
 
Wananchi wengi wanaandamana kwa kigezo cha kutolipwa madai yao ya korosho..

Baadhi wanatarget wafanyakazi wa serikali,ofisi,na wote wa aina hiyo.. Sema si unajua , msafara wa mamba na....

Nawaunga mkono, kwa aina hiyo ya tifu! yaani ujumbe unawafikia moja kwa moja walengwa, chani kiwiti vipi, hawajitokezi wakasema yale maneno yao. . . .chama tawala!
 
Suluhisho la serikali: "Wapinzani wanachochea wakulima wa korosho kudai haki zao."
 
Lkini kwa bahati mbaya CUF haijajiandaa kutumia vizuri hii fursa ya kisasa iliyopo!

Nakumbuka Jana waziri mkuu aliulizwa pesa za Korosho akawa anajibu kama hazijui na kila kitu kiko kwenye mchakato sasa Tanda himba poleni fedha ziko kwenye mchakato sasa amua mwenyewe chukua hatu CCM HOYEEEEEEEEE
 
Pesa za kumhonga jaji ili apindishe hukumu dhidi ya Lema ipo,pesa ya kuhonga wapiga kura Igunga na Arumeru mashariki ilikuwepo,pesa ya kutoa rambi rambi msiba wa Kanumba ipo kwa serikali hii ya JK ila pesa ya kuwalipa wakulima wa korosho hamna halafu wanatudanganya kilimo ni uti wa mgongo!ngoja 2015 ifike haraka ili tuwaondoe magamba madarakani huenda mambo yakabadilika.
 
Kule mbeya Mr. Sugu Mbunge aliyechaguliwa na watu alienda kuwaomba wapigakura wake watulie kufuatia vurugu za maana dhidi ya serikali nao wakatulia, Unadhani mbunge wa huko akija wapigakura wake wataheshimu uwepo wake?
 
Habari njemama hiyo kwa CDM, kwani ingekuwa Mbeya, Mwanza au Arusha wangesema hao ni wahuni wa CDM, sasa tutsema je? labda hao ni wahuni wa CCM na mwenza wake cuf.
Vyovyote vile kusini wanahitaji upako toka kwa Lema
 
Back
Top Bottom