Sakata la makali ya mgao wa umeme-mfichaficha maradhi kilio kitamfichua

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Utakuwa muujiza wa kipekee kama tatizo la umeme lililodumu zaidi ya miaka 6 litatatuliwa kwa wiki tatu!!!!!!!!!!!!!!!
Watalindana lakini hatimaye kilio kitawafichua tu!!!!!!!!!!!!!!
****** na ngeleja wake ni wazao wa Rostam; wanangoja nini wakati mzizi umekwisha ng'oka???????????
 
Ngeleja amening'inizwa au kwa wale wakristo/wakristu ni kwamba ameangikwa msalabani. Hivi yule katibu mkuu bado anapumua au amesafirishwa nje kutibiwa? kama Ngeleaja hata jiuzulu hata kwa hili basi jamaa atakuwa na roho ngumu
 
Back
Top Bottom